Mnafikiri kuna chamaana atakachoongea, Kwani Komba alishawahi ongea kitu cha maana Bungeni kwa manufaa ya Taifa?.
Komba ni Mbunge Kilaza kuliko Mbunge yeyote ktk bara la Africa ,sasa yupo busy akijiandaa kwenda Msituni KUNYA , kwa kisingizio eti anaenda Kupigania Serikali 2 ,Komba cheo jeshini alipewa zawadi tu,zile mbinu za Kijeshi haswaa hazifahamu Hana ujuzi wa kivita ! Huko mistuni sijui ataishi vipi !