Baija Bolobi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 1,093
- 1,737
======Shida kubwa iliyopo ni Prof Kabudi kum-outshine Lissu. Hili limewakera na litaendelea kuwakera wengi na kupelekea mashambulizi mengi yenye lengo la Personality assassination kwa Prof Kabudi.
Kuna watu katika jamii hii wanaona ni kosa la jinai kwa mtu kutoka upande wa serikali au chama tawala kuwa mweledi. Siasa hizi hazituletei tija sana!
Siku za karibuni nimesafiri na Prof. Kabudi kwenda Nairobi. Tuliongea mengi na ninaamini atazingatia.
Lakini moja ya tuliyoongea naye na nikalazimika kukubaliana naye ni juu ya nafasi ya Tundu Lissu katika siasa za Tanzania. Mimi nilikuwa na maoni kinzani na yeye alikuwa anaona fahari sana juu ya kazi anayofanya Tundu Lissu. Kwa kauli yake aliniambia, " Tundu hana mtu wa kumjibu ndani ya serikali na hatapatikana karibuni".
Nimeangalia hotuba yake Prof. Kabudi kwa mshangao pale alipokuwa akimshambulia Tundu baada ya kuwa amenishawishi nimkubali Tundu. Je yawezekana Prof. Kabudi anaelekea kuangukia mtego alimoangukia Prof. Muhogo ambaye aliingia kwa kishindo akitanguliza uprofesa lakini akajikuta anaangukia mikononi mwa wakulima na wavuvi wa Musoma na kuwapigia magoti na kula udaga nao ili wampe kura. Siku hizi amenywea.
Baba wa Taifa ambaye ni role model wa Prof. Kabudi, aliandika akishauri kuwa " wana falsafa wanajua kutawala lakini hawapendi kutawala". Akasema, kila walipopata nafasi ya kutawala, walipenda wamalize haraka na kurudi katika kazi yao wanayoipenda.
Awamu hii ina maprofesa wengi. Nachelea watadhalilishwa wasipokuwa waangalifu.
Taja Prof wako uliyekuwa unamheshimu na akiwa role model wako akapewa cheo kama minister na ukabaki unamadmireNimesoma mara mbili kuitafuta point yako nimeipata...
Imejificha sana ni ngumu kwa akili ya kawaida kuiona.
Kuna wengine watakuja na maneno mbofu mbofu bila kutafakari ulichomaanisha.
Big up Mkuu
Huruma gani sasa aliyotia?Tundu Kwa sasa anatia huruma sana, huku Tulia, kule Palamagamba patamu, misifa yote kwishiney
======
Unakosea sana. Prof. Kabudi ni Profesa wa sheria. Outshinning Tundu is the obvious case.
Hata Tundu hana shida na hilo.
Shida kubwa ni mabadiliko ya ghafla ya Profesa Kabudi. Juzi alikuwa anamkubali Tundu; jana akaonekana anamshambulia. Mwaka jana alikuwa anatetea serikali tatu, jana anatetea serikali mbili na kuzitumikia.
ungekua walau umewahi kukanyaga ardhi ya chuo kikuu ungejua kuwa Tanzania tuna maprofesa.Hivi Tanzania kuna maprofesa? Mbona wakiwa wanatoa Hoja au kujibu Hoja ni zaidi ya vituko? Nafuu kumsikiliza lusinde ambaye hujipanga vizuri mno.
Sasa na wewe, si utuambie tu hiyo "point" uliyoipata?Nimesoma mara mbili kuitafuta point yako nimeipata...
Imejificha sana ni ngumu kwa akili ya kawaida kuiona.
Kuna wengine watakuja na maneno mbofu mbofu bila kutafakari ulichomaanisha.
Big up Mkuu
tundu kama GAUCHO yaani kabla hajajibu hoja malaika wanamshangilia kwanza ova
tundu kama GAUCHO yaani kabla hajajibu hoja malaika wanamshangilia kwanza ova
Ina maana mkuu huyo Pro Kabudi ni Kinyonga anabadirika kutegema yupo wapi.======
Unakosea sana. Prof. Kabudi ni Profesa wa sheria. Outshinning Tundu is the obvious case.
Hata Tundu hana shida na hilo.
Shida kubwa ni mabadiliko ya ghafla ya Profesa Kabudi. Juzi alikuwa anamkubali Tundu; jana akaonekana anamshambulia. Mwaka jana alikuwa anatetea serikali tatu, jana anatetea serikali mbili na kuzitumikia.