BIG POINTSiku driver wa hayo malori akirudi kumlilia mke wake, utarudi huku kuomba ushauri tena. Huyo ni "mke wa mtu" na angalia driver asikufanyie kitu mbaya.
Kaisha jifungua mkuu na saizi mtoto anakaribia miaka miwiliSwali la Kizushi.
Bado Mjamzito?
Au ameshajifungua?
Jibu kwanza Suali langu ili nipate kukusaidia.
Maana hapo kwenye Ujauzito hukufunguka tena.
Ni kama kuna kitu fulani unakificha.
Hebu funguka kwanza
Kaa na mama yake na huyo binti akiwemo ongea nao kuwa huna lengo baya la kuwafanyia, na unampenda binti yake na upo tayari kuishi naye kwa namna yeyote ile, kikubwa ni kwamba mama mkwe anaonekana hapendezwi na wewe sasa jaribu kutafuta muda ukae naye umueleweshe tena kwa ushawishi nadhani atakuelewa kwa sababu yeye ni mtu mzima.
aisee ukiona wazaz hawatak mwanao aolewe na mtu wala usilazimishe! kwanza huyo mama anaoneka yupo kimaslahi! na bint kakurudia wewe kwasababu kwakwe kuchungu! sema ndo hvyo umezama penzini ngumu kunielewa! akitokea kibosile mmoja mama atamuuza mwanae tena kwa kibosile ww kazi yako kula makombozi!... binafs naogopa wakwe km hao! pole!
na sasa hv mama lazima awe na kaadab kwasabb umempa mtaj binti yake! yaan ww utakuwa wakuendeshwa till u die na huyo mama!
Ataelewa somo baadayenajua huez elewa! utanielewa miaka ijayo sio sasa

najua huez elewa! utanielewa miaka ijayo sio sasa
Hapaa ni jukwaa kwa ajili ya ushauru kwaio funguka mkuu wala usiwaze
Ataelewa somo baadaye
![]()
![]()
![]()
Kivipi mkuu fafanua kidogo mana sijielewi hapa naona mapicha picha tuuAmekuchezea hakiri huyo
Kulazimisha penzi ni sawa na kulazimisha fani kisha' unakuja kuleta utani...
Kuwa mkweli, hata baada ya hayo yote kweli kabisa kabisa bado unampenda... Sidhani kama ni kweli...
Cc: mahondaw