Habari wana jukwaa pendwa la jf..
Habari za usiku huu tulivu ...
Nilitamani mda mwingi sana kujiunga na hili jukwaa lakini nikawa naishia kusoma tuu wala sikuwa member kuanzia miaka miwili nyuma imekata..
Wacha niende kwenye mada jamani miaka karibu minne mpaka sasa hivi huko awali niliwahi kuwa kwenye mahusiano na binti mmoja ambaye kwa sasa ni single mother
KWENYE mahusiano yetu Mimi na huyoo mdada hapo awali kabla ya kuachana naye aisee huyoo binti jamani...mpaka basi hadi sasa naandika hapaa moyo wangu bado upo kwake kabisa ....
Picha linaanza mwaka wa pili wa mahusiano kwa kua nilimpenda nikamuomba kuwa tuwe wapenzi wa kudumu kabisa na hatimaye ndoa Mungu akijalia ila yeye alishauriana na mama yake juu ya mpango huo mama yake akawa anapinga kwa maana kuwa family yetu kiwango kikubwa wasomi pili umri wetu Mimi na binti huyoo unafanana kwaio mama yake aliadhimia kwa binti yake hadi kumpa maneno magumu kuwa nisikuone kule kwa yule mwanaume anataka kukulaghai tuu ..
Wakati huo mwaka wa kwanza wa mahusiano mama yake hakujua ila zilipoanza story za ndoa ndio zogo lilianza na mama yake akawa anahisi kuwa nataka kumalaghai binti yake ..
Niliumia sana kusikia hivyoo haikupita mda binti alipewa ujauzito na mwanaume mwingine kwaio mwanaume akawa anatunza mimba wakati huo mtaa tuliokuwa tunakaa binti alihama akahamia kwingine kabisa ..
Lakini hiyoo story haikuvuma kabisa kiwa binti anaujauzito mana mama wa yule binti alikua anaficha iwe siri aliondoka pale binti akiwa na ujauzito wa miezi miwili huko alipo tulikua tunaendelea kufanya mawasiliano licha ya Kuwa yupo kwa bwana ...
Moto unaanza bwana aliyempa ni dereva tena dereva wa mkoa full kuzurura home hakaliki matumizi shidaa binti akawa ananitafuta ELNEY naomba hela ya matumizi Mimi nikawa namsaidia nisijue Mke wa mtu nikawa namsaidia kwa sababu nampenda ..
Kufupisha story mwisho wa siku binti alirudi kwa mama yake na kuanza kulalamika kuwa maisha magumu na mwanaume full michepuko. ..mama akampokea binti yake maisha yakasonga ila
Mimi mawasiliano hayakufa yalikua kama kawaidaa na mwishoe akaomba turudiane kama wapenzi nikakubali mana alikua bado yupo kwenye nafsi yangu..
Mama mazazi wa binti kwa Mara ya pili bado anamwambia binti yake kuwa huyoo mwanaume anakupenda kweli amekubali kirahisi kukusamehe tuu huyoo anataka kukurudishia kisasi na wewe
Waungwana Mimi Sina lengo baya na huyu binti bado nampenda sana na kwa sasa nimempa mtaji wa laki Sita mana yeye fundi cherehani na kafungua ofisi yake na anawafunzi watatu ...
Mwenye ushauri jamani binti haamini kama kweli nampenda anahisi nataka kurudisha kisasi ...