hy dem wako nae hajielewi.....hv kuna mwanume wa kumtega humu duniani.....nampa pole hafu na wewe uache ukicheche so unataaka tukwambiaje na ushamsaliti.....
endelea kubanjukatu na shemeji, maana mwanamke mwenye akili na uelewa yakinifu awezi akanza simulia mambo ya chumban kwa marafik zk.. so amejitakiatu kula mzigo mkuu hata kama wakikutaka wote
kama ni mtego au anakupenda wewe haikuhusu, jua mwisho wa siku tokeo ni moja tu Kama ukiingia, Kwani kila anaekupenda nawe unamkubali??? wewe si una girlfriend tayari??? Na wasema anakuthamini???? Au hujui unachokitaka kwake???? Jitambue mkuu.
Pls usijaribu kimsalit mpenzi wako...hayo maumivu yanazid hata msiba. Mm yalinikuta kama hayo. Nilitaman nipoteze kumbukumbu baada ya kugundua boy wangu anadate na msichana mwingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.