Nimemsaliti mpenzi wangu

Nimemsaliti mpenzi wangu

Kadri muda unavyokwenda,idadi ya wanaume inapungua Sana.Wamebaki wanaume majina Tu.
 
aisee..siku hizi u-wife material unapimwa kwanza kwa uzuri na shape..vingine vitafuata...mchina si atatafutwa sana sasa?!
 
Tupo Dodoma kwenye kongamano la maombi kuombea taifa halafu ujinga kama huu unapataje nafac ???
 
Mlilie Mungu wako kwa uasherati uufanyao,nae atakupokea siku ya mwisho.
 
kosa la kwanza la huyo girlfriend wako ambalo ndio kiini cha tatizo ni kukusifia kwa marafiki zake kuwa kuwa your gud on bed!!! huwa sielewi kwanini mambo ya chumbani watu wanayaweka kibarazani, ilitosha kuwaambia mrafiki zake kuwa ana mtu ila hayo ya uzuri na sifa zingine alitakiwa kubaki nazo msifiane chumbani wenyewe.
kosa la pili huyo rafiki nae ni msaliti, na mnafiki si wa kuaminika hata kidogo, kama anaweza kumzunguka rafiki yake waloshibana kisa tu kasikia sifa ujue hata wewe ukiendelea nae akasikia sifa nzuri kwingine anakuzunguka hata kwa rafiki yako wa karibu.

tatu wewe binafsi ni mwanaume usie na msimamo na ambae huwezi kuzuia tamaaa zako, kama unajua kabisa ni shemeji yako unanasa vipi kwa mfano, kwaiyo nawe binti akija akakusifia tu unanasa na kusahau kila kitu. sasa cha msingi ushafanya kosa usilirudie, mkanye huyo binti na mkatishe mahusiano kama mmeanza if at all unampenda msichana wako, haileti heshima umekaa na mpenzio halafu rafiki yake yupo hapo anakujua in and out.
kama mpenzi wako ni mwelewa unaweza mwambia ukweli ukamsingizia kosa shetanikuwa alikupitia ili ajue aina ya marafiki alionao hii itasaidia hata pale rafiki huyo akitaka kukuharibia....ilaaa fanya hivyo tu kama una uhakika utasamehewa ww ndo wamjua mwenzio vizuri reaction yake akichukia.
 
ungekuwa una mpenda usinge msaliti...endelea kulabua tyu mkuu...maisha ya saiv bila mchepuko hayaendi.....na wako uko alipo watakuwa wana kuchapia...!!(gud life no stress.)
 
For real?

Ukiweza kuthibitisha hapa wewe si mwanafunzi wa sekondari walai nitamtukana admin!
 
“People generally didn't cheat in good relationships.” think toto
 

Attachments

  • avatar109634_1.gif.jpg
    avatar109634_1.gif.jpg
    3.9 KB · Views: 172
  • funny-pictures-532.jpg
    funny-pictures-532.jpg
    26.4 KB · Views: 104
Back
Top Bottom