Barnaba pro
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 210
- 13
Habari wana MMU,
Nina girl friand wangu ambaye tumedumu kwenye mahusiano kwa miezi kama 7 ivi. Ananipenda sana tena kupita kiasi coz ananijali na yuko tayari kufanya lolote kwa ajili yangu, ananisaidia sana pale ninapokuwa na shida.
Kiufupi naweza sema anaweza kuwa mke mtarajiwa kwa kuwa sijaona usaliti wowote alionifanyia toka tudate na ana kila sifa za wife material ikiwemo uzuri, shape etc.
Sasa tatizo lipo hapa:
Kwa sasa tupo mikoa tofauti kutokana na sababu za kimajukumu. Amekuwa akinisifia kwa rafiki zake kuwa nampenda sana na yeye ananpenda na siwez msaliti.
Pia kanisifia kuwa ni mtanashati na najua mambo on bed. Kawapa namba zangu rafiki zake ili kuonesha tu kuwa nampenda na nina msimamo siwezi lubunika.
Sasa pasipo kujua nimejikuta nimenasa kwa rafiki yake ambaye alianza kwa kunisifia kwa smu mwisho akafunguka kuwa ananipenda. Nampenda sana huyo girlfriand wangu lakini nimemsaliti kwa huyo rafiki yake.
Je, huo ni mtego au ni reality kuwa huyo rafiki yake ananipenda?