Hao tunawaita malegendary, hapo kwenye "kesho nikutafute" yaani kapindua meza, badala wewe ndio uombe kumtoa out yeye ndio anaomba, narudia huyo ni LEGENDARY ,Juzi wakati nageuka Dsm toka huko kaskazini nilipanda bus na dada mmoja siti ya pembeni.
Alikuwa ana kibinda nkoi kishuzi nini gauni Fupi ila alionekana mjamzito. Tulikuwa wa kwanza kufika na kupanda bus.Kwa lile tumbo kubwa basi nikawa namtreat kigentleman kama mjamzito safari nzima.
Na alikuwa anatuma balaa mpaka watu wakawa wanahisi sisi couple. Nikawa namjibu usijali pole atakuwa wa kiume si unajua wasumbufu.
Tukafika Dar.Usiku alivyofika nyumbani akanipigia kuwa kafika salama,nikamuaga bye mama K nikimaanisha kijacho. He!akanijibu nani mjamzito we mwehu nini?Ndio nilivyo kesho nikutafute uninunulie mbuzi rombo green view."Nikamwambia ntaangalia.
Aisee!
Kumbe bado kuna wanaume MNA akiliNakumbuka 2015 na rafiki yangu tulikuwa tunaelekea Tanga. Ubungo kabla ya kupanda basi kuna mdada tulikutana nae, simu yake ilikuwa inasumbua kwenye whatsapp, akaomba nimrekebishie, then kumbe bando lilimwishia hivyo nikaunga hotspot kwangu. Muda wa kupanda basi nikakaa nae siti moja. Dah! mdada alikuwa kanona balaa, stori zilinoga mpaka sometimes nikawa namshika mipaja yake iliyojaa jaa kama kuku broiler, mara nasogeza mkono maeneo ya kati moyoni nikisema "Nyama nisiile basi hata mchuzi nisinywe?" dah! Nakumbuka sehemu za chakula na vitafunwa tulikuwa tunashuka na kununua, hadi watu wakawa wanadhani sisi ni wapenzi. Alinipa contact bila shida na alishukia majani mapana, nami nilikwenda kushuka town na kuchukua chumba, siku ya pili nilionana nae town, nikamwambia situation niliyokuwa nayo jana yake!! Alinilaumu sana kwanini sikumwambia, muda huo ndio nilikuwa napanga kurudi Dar!! Akaniambia amekwenda kwenye harusi ya mdogo wake! Akirudi Dar atanitafuta!! Namba yake nimepiga block!!
Onyo
Tunapenda kula kimasihara lakini muda mwingine ukikikosa kimasihara achana nacho , huwezi jua Mungu amekuepusha na kitu gani.
[emoji23][emoji23][emoji23]Serikali inasemaje kuhusu hilo?
Kumbe bado kuna wanaume MNA akili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unakuta mdada ana kitambi cha beer
Weupe wa mkorogo
Wowowo ya mchina
Na alama za makovu ya visu usoni..
Kama Una akili kaa mbali..
Mjamzito si mgonjwa. Na namba ya simu juu. Hivi hizi namba za simu zinakusanywa tu, kila mtu akutanapo na mtu!Juzi wakati nageuka Dsm toka huko kaskazini nilipanda bus na dada mmoja siti ya pembeni.
Alikuwa ana kibinda nkoi kishuzi nini gauni Fupi ila alionekana mjamzito. Tulikuwa wa kwanza kufika na kupanda bus. Kwa lile tumbo kubwa basi nikawa namtreat kigentleman kama mjamzito safari nzima.
Na alikuwa anatuma balaa mpaka watu wakawa wanahisi sisi couple. Nikawa namjibu usijali pole atakuwa wa kiume si unajua wasumbufu.
Tukafika Dar. Usiku alivyofika nyumbani akanipigia kuwa kafika salama, nikamuaga bye mama K nikimaanisha kijacho. He! akanijibu nani mjamzito we mwehu nini? Ndio nilivyo kesho nikutafute uninunulie mbuzi rombo green view." Nikamwambia ntaangalia.
Aisee!
Si kila mti ni wa kujengea mingine imeliwa na mchwa
Kuna mdada namjua naye ana tumbo kama ana mimba, umepita mwaka ndo nagundua siyo mjamzito. Afu ni kadoogo hakana hata mwili, sijui katoa wapi lile tumbo masikini..Kuwapa kipaumbele wakina mama wajawazito ila wengine ni viliba tumbo/vitambi vya bia tu.
Kuna mhudumu mmoja yupo mkoa mmoja kaskazini pub moja maarufu sana. Sijui hana msaada?Kuna mdada namjua naye ana tumbo kama ana mimba, umepita mwaka ndo nagundua siyo mjamzito. Afu ni kadoogo hakana hata mwili, sijui katoa wapi lile tumbo masikini..
Mademu wengi wa kibongo siku hizi wana muonekano wa ujauzito kutokana na kunywa pombe hovyo, kutofanya mazoezi, na kula bila mpangilio. Sasa imagine huyo alikuwa na muonekano wa ujauzito wa miezi 9, je akishika mimba atakuwa vipi?Juzi wakati nageuka Dsm toka huko kaskazini nilipanda bus na dada mmoja siti ya pembeni.
Alikuwa ana kibinda nkoi kishuzi nini gauni Fupi ila alionekana mjamzito. Tulikuwa wa kwanza kufika na kupanda bus. Kwa lile tumbo kubwa basi nikawa namtreat kigentleman kama mjamzito safari nzima.
Na alikuwa anatuma balaa mpaka watu wakawa wanahisi sisi couple. Nikawa namjibu usijali pole atakuwa wa kiume si unajua wasumbufu.
Tukafika Dar. Usiku alivyofika nyumbani akanipigia kuwa kafika salama, nikamuaga bye mama K nikimaanisha kijacho. He! akanijibu nani mjamzito we mwehu nini? Ndio nilivyo kesho nikutafute uninunulie mbuzi rombo green view." Nikamwambia ntaangalia.
Aisee!
Kwa hiyo mkuu no yake unayo hapo karibu?!!Nakumbuka 2015 na rafiki yangu tulikuwa tunaelekea Tanga. Ubungo kabla ya kupanda basi kuna mdada tulikutana nae, simu yake ilikuwa inasumbua kwenye whatsapp, akaomba nimrekebishie, then kumbe bando lilimwishia hivyo nikaunga hotspot kwangu.
Muda wa kupanda basi nikakaa nae siti moja. Dah! mdada alikuwa kanona balaa, stori zilinoga mpaka sometimes nikawa namshika mipaja yake iliyojaa jaa kama kuku broiler, mara nasogeza mkono maeneo ya kati moyoni nikisema "Nyama nisiile basi hata mchuzi nisinywe?" dah! Nakumbuka sehemu za chakula na vitafunwa tulikuwa tunashuka na kununua, hadi watu wakawa wanadhani sisi ni wapenzi.
Alinipa contact bila shida na alishukia majani mapana, nami nilikwenda kushuka town na kuchukua chumba, siku ya pili nilionana nae town, nikamwambia situation niliyokuwa nayo jana yake!! Alinilaumu sana kwanini sikumwambia, muda huo ndio nilikuwa napanga kurudi Dar!! Akaniambia amekwenda kwenye harusi ya mdogo wake! Akirudi Dar atanitafuta!! Namba yake nimepiga block!!
Onyo
Tunapenda kula kimasihara lakini muda mwingine ukikikosa kimasihara achana nacho , huwezi jua Mungu amekuepusha na kitu gani.