Ni kosa ulilofanya mie najua rafiki hua na mtu wako wa karibu,sikuzote usipende mawasiliano na wasichana wa rafiki zako,kwamfano mimi
rafiki zangu mimi ni wangu mimi sio eti mumewangu kaja tumekaa hapo story nakugongeana sijui tunakwenda dinner na shogangu hiyo kwangu haipo,hata mumewangu pia kama watakuja rafiki zake nyumbani baada ya salam hawanioni kuna time hata wakitoka namwambia niagie..
kama atakua na balaa lake ni huko lakini simpi fursa yakumzowea rafiki yangu.... Na wala hata rafiki yangu nikienda kwake mara moja siunajua wale wanaume wengine wakiwakuta wanawake mmekaa atakuja ajiweke hapo na remote mkononi mara kaingilia mazungumzo,ujue ntaaga na kwako siji
au umpe number yangu ya cm mumeo eti atakuja mumewangu sijui mpe hiki na kile ujue sipokei cm yake,jaribu kujiepusha sana na mambo yasio ya lazima..