Nimempenda teller wa benki fulani

Kama ni kweli, hamisha hela zote kwanza. Unaandaliwa upigwe tukio hautakaa uamini
 
Hii misemo inanikera sijui kwa nini lakini mimi ni miongoni mwa watu wanaokereka na hii misemo na mingine ya namna hii, HH sasa "hakiri " ni nini
 
Fix
 
Watu was humu,huwa nawadharau Sana wanaweza kumkejeli mleta mada,hawajui kahama Kuna jama hawajui kuvaa Wala kuchana nywele ila Wana usafiri wa gharama.

Stupid
 
Baadae unamkuta kwenye jukwaa la ajira na tenda anaomba kazi yoyote ile halali
 
Kuna mwamba yupo machimboni Namungo huku,hajui kuandika,anajua hesabu tu ila ana mpunga wa maana tu na ana drive ndinga kali tu
 
Watu was humu,huwa nawadharau Sana wanaweza kumkejeli mleta mada,hawajui kahama Kuna jama hawajui kuvaa Wala kuchana nywele ila Wana usafiri wa gharama.

Stupid
Hao hela yao ya uchawi[emoji2][emoji2][emoji3]
 
dah! ama kweli...
 
UTOTO RAHA SANA. UNAWEZA KAA HAPO KWA SHEMEJI YAKO UMEWEKA MIGUU KWENYE STULI UNACHEZEA MAPUMBU HUKU UKI CHECK TAMTHILIA ZA AZAM UNAANZA KU IMAGINE MAMBO UNAPOST JF. NGOJA DADAYO AACHIKE SASA.
 
We ulishakubali kuwa rafiki yake. Ulishamkubalia hilo utapata shida kumfanya awe mpenzi.
Kwa sasa mpotezee ila muweke wazi unamuhitaji kimapenzi.
 
UTOTO RAHA SANA. UNAWEZA KAA HAPO KWA SHEMEJI YAKO UMEWEKA MIGUU KWENYE STULI UNACHEZEA MAPUMBU HUKU UKI CHECK TAMTHILIA ZA AZAM UNAANZA KU IMAGINE MAMBO UNAPOST JF. NGOJA DADAYO AACHIKE SASA.

Kweli wew ni chizi maalifa
 
CHAI
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…