Nimempenda teller wa benki fulani

Utakuja kupigwa tukio hautaamin, hela zake zote atalipa na faida nyng sana
 
Tukiacha criticism hivi story kama hii haiwezekani kuwa kweli?

Tunasafari refu kama vijana,ukweli wa mtu anao mwenywe,sisi

tujibu swali,tushauri alichoomba Mengine atajua na Mungu wake

Acheni wazee kuna raia wana hela na hawawezi andika,achana na

hawa wachanganya R na L kuna wajomba hata andika hawawezi,ila n wamoto.
 
Hakuna kitu hapo babu bili ulipe ww Alf uturushe umelipiwa hayupoo Dem wa hvyo yaan hapo imependwa pesa sio ww na komwe lako kaka kimbia bobu hao viumbe sio utapigwa teke la vandame
 
acha utoto, pesa nyingi sana ni kiasi gani. Huna hata akaunti benki nyau we
 
Endeleeni kutoka kuna siku mtajikuta mmekulana kimasihara,tafuta kambunye kakupoza kapembeni hakikisha unapotoka kwake unaenda kupoza
 
Imefuatwa Pochi hapo
 
Daaah mtoa mada sijui anatuchukuliaje?
Enewei sukari haitoshi mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…