ila sasa yupo mbali na nilipo nifanyeje?
We mvivu hata wakufikiri unataka utafuniwe umeze tu!!!
Jambo wewe?ahaa ahaa ahaa!
umempenda msichana au picha?
Jambo wewe?
salaam wakuu
kuna dada nimempenda kule fecebook na nilikuwa napitia pitia kwenye sehemu ya " find friends "mara mtoto huyu hapa,nikamwandika private message akajibu,nikaomba urafiki akajibu sasa ni kama week tuna chats ila ni mzuri sana.
ila sasa yupo mbali na nilipo nifanyeje?
Msaidie mwanaume mwenzio basssss!!!!xana tu! mwenzio anataka namna ya kugegeda picha ya f.b!!!!!!!!!!!!
Msaidie mwanaume mwenzio basssss!!!!