Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
ati???? Nicas Mtei ,samahani shemeji yangu!kwani we hapo u kwapi???
naomba kwa adabu hivo na goti lile ambalo mama K alikuwa anakukataje jicho sasa ikitokea unaamkia bila kulikunja!
hakyamama nakununia!
mi sendi huko usipate presha!kwn ile vacation si ni mwezi wa 1 mwakani?basi pana shaka!
We bazazi mwana mroka pabaya uwe na nizamu kwa wakubwa. Hujui snowhite alivyobongolala anaweza kuamini kuwa mie mtakatifu ni barazuli?Sitaki aende kwa barazuli Asprin
Nawe umepotea njia kweli. Wenzio wanapanga folenikuja kupata bahati kwangu we unaigeukia mikosi. Tena usije kucheza na mimi tena..........mi sendi huko usipate presha!kwn ile vacation si ni mwezi wa 1 mwakani?basi pana shaka!
naskia siku hiz mmefilisika wewe,hommie wako Kaizer, The Boss, wote modem zenu hazina uhai!ETI NI KWELI!We bazazi mwana mroka pabaya uwe na nizamu kwa wakubwa. Hujui snowhite alivyobongolala anaweza kuamini kuwa mie mtakatifu ni barazuli?
Nawe umepotea njia kweli. Wenzio wanapanga folenikuja kupata bahati kwangu we unaigeukia mikosi. Tena usije kucheza na mimi tena..........
mwenzenu nipo kwenye mazishi kule Olasiti
mdogo wangu wacha tu.......hya tuwakilishe dada mkubwa!mi roho inaniuma sana kwa keli basi tu !
We bazazi mwana mroka pabaya uwe na nizamu kwa wakubwa. Hujui snowhite alivyobongolala anaweza kuamini kuwa mie mtakatifu ni barazuli?
Nawe umepotea njia kweli. Wenzio wanapanga folenikuja kupata bahati kwangu we unaigeukia mikosi. Tena usije kucheza na mimi tena..........
Mahakama gani mkuu????
snowhite umesemaje mwalimu wangu? yaani mishara ya walimu si imepanda sasa miye mwanafunzi nifilisikeje tena
mdogo wangu wacha tu.......
Ukristu kazi sana
hasa unapomsikiliza bosi wako anasema
"Msijaribu kushindana na uovu kwa uovu, lakini shindeni uovu kwa wema".
na
"Wenye mamlaka watimize wajibu wao. Sisi wakristo tusamehe, tusijibu uovu, tudumishe amani na upendo katika taifa letu."
ahahahhaha mi nilikuwa naripori tu habari za magazetini kuhusiana na wewe, Asprin, Dark City, SnowBall, na The Boss eti inasemekana DCB na FINCA wamewapurura mbaya!modem zinapiga alarm weee waaapi!NILIKUWA NAULIZA TU LAKINI!snowhite umesemaje mwalimu wangu? yaani mishara ya walimu si imepanda sasa miye mwanafunzi nifilisikeje tena
tatizo umenipa homeowrk ngumuuu.....(eti nisipate muda wa kuteta na kale kabinti kapya jirani) matokeo yake ndo haya
mwishoni mtaniwazia mabaya bure
ahahahhaha mi nilikuwa naripori tu habari za magazetini kuhusiana na wewe, Asprin, Dark City, SnowBall, na The Boss eti inasemekana DCB na FINCA wamewapurura mbaya!modem zinapiga alarm weee waaapi!NILIKUWA NAULIZA TU LAKINI!
kuhusu homuweki ni kweli bana manake ni bora nikuzoeshe kazi ngumu ili hata matokeo yakibatilishwa uwe umeshazoea kazi za mairon boys!