Nimempenda binti mmoja

Kwa thread hiyo ni wazi kuwa kwenu uwezo ni mdogo. Halafu hii fursa uliyopata ya elimu unaichezea. Naomba nikushauri. Mwammke uliye darasa moja nae ukimuoa akiwa na watoto watatu utamkimbia ukubwani!. kuoana watu wa umri unaokaribiana sana ni chanzo cha nyumba ndogo. Ruhusu 5 to 8 years gape. Wazuri ni wengi mbona? Bado subiri uingie second year uangalie first year walivyo boma. Acha ujinga somaaa.
 
Nitakupenda kwa moyo wote na m/mungu nisaidie
 

samahan kaka eti,una umri gani?!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…