Nimempenda Barmaid

km ww ulivyompenda kuna watu kumi km ww wamempenda.
Km upo serious hebu tafuta muda ambao yy yupo free mzungumze.
Mweleze ya moyon kisha muende mkapime HIV then muweke ndani.
Kuendelea kumuacha hapo akifanya hiyo kaz ya ubamedi ni kumpa majaribu. Na pia kukaa kimya kwako kutakufanya umkose
 
wewe umempenda sasa watwambia ili iweje? tuwekee picha hapa tuklushauri
 
chukua
 
Hatari sana!!!
 
Wat
Watu mnajua kutumia fursa
 
Bartender - Naeto C
In lov wit stripper-T.Pain
 
siku ukija kurudi nyumbani kwako bila hata sarawili usiache kuja kuomba ushauri. koh koh koh.
 
Sasa nirudi bila suruali kwa nn?
 
Atakuwa demu wangu wa hapo toroka uje, achana nae kabisa, au nikutajie na jina.
 
Duuu haya makubwa
 
Mhhh! Wewe unatakiwa kutoa ushauri tu,ukienda tu umeharibu
 
Fata roho yako ongea, ukimkuta hana mtu basi bahati yako au piga mbizi awe wako wewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…