Nimempenda Barmaid

Ushauri kwamba is it right kuoa na inawezekana barmaid akabadirika?
 
Kama hujaoa weka ndani hiyo kitu mkuu anajua maisha ni nini
 
mchukue umweke ndani alafu naomba unielekeze kwako ili nimpe ushauri wa kuishi mazingira mapya
 
Unampenda kwa kutaka kumgegeda au unampenda kwa kutaka kuishi naye mazima??
 
mtoe ktk kaz hiyo umueleze nia yako atakuelewa na umtunze kwa mahitaji yote.....ila umuoe sio kumchezea tu
 
Usiishie kuhisi,fanyia moyo wako haki
Sasa Valentina mi nahisi not everything uu ridhishe moyo
 
Si afadhali wewe umempenda muuza bar, mimi nimeangukia kwa changudoa ana hekima kwangu ni balaa, sijawahi ona toka nianze kuwa teja wa machangudoa miaka kama kumi na tano hivi iliyopita. Huyu mrembo nimekutana nae Moshi kwenye bar moja hivi inapiga mziki live kila ijumaa. Kwa kweli damu zimekutana. Nimefanya upelelezi wa kutosha. Ila sina namna imebidi nimuache tu ila bado anazidi kuniheshimu. Nikitokea tu anaaacha upuuzi wake anaungana nami kwenye kiti, na sio kwamba ananichuna bali nae huchangia bili. Ni mwezi wa sita sasa toka tufahamiane. Ni binti wa miaka 24.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…