Nimempata wangu

Nimempata wangu

U seem 2b a very loving, honest, godfearing, n a transparent gal! Mungu akuzidishie!
 
Sasa hivi utakuwa unasikiliza nyimbo za Celine Dion na McAnthony tu bila shaka. wish you the best.
 
Kama lengo lake ni kumbanjua atajikuta mikono yenye misumari si salama....
Mwingine anania ya kunibanjua alafu anakuja na gia ya kunipenda...bora aseme tu miss chagga naomba nikubanjue leo alafu mi niamue ndiyo au hapana

Miss chagga naomba nikumbanjue Leo!!?
 
Jamani nimempata wangu.

Na Mimi now i can bath and make my self beautiful on short i can take care of my self.

nilijizira jamani mapenzi yalinitenda nilipata skrepa kila kukicha machozi yalinitoka lakini sasa naamini nimeangukia mikono salama at least i can smile.

Nipongezeni jamani!

Congratulations
 
hongera maana najua ujja mtoa bikra so ni wa wote
 
Jamani nimempata wangu.

Na Mimi now i can bath and make my self beautiful on short i can take care of my self.

nilijizira jamani mapenzi yalinitenda nilipata skrepa kila kukicha machozi yalinitoka lakini sasa naamini nimeangukia mikono salama at least i can smile.

Nipongezeni jamani!
Basi sawa enjoy
 
Back
Top Bottom