miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Kama lengo lake ni kumbanjua atajikuta mikono yenye misumari si salama....Nimecheka sana miss chagga bhana akishabanjuliwa basi upendo huwa unapungua
Mwingine anania ya kunibanjua alafu anakuja na gia ya kunipenda...bora aseme tu miss chagga naomba nikubanjue leo alafu mi niamue ndiyo au hapana