Nimempata Asiyebadilika...

Mentor asipoelewa hili darasa me na Kaizer tunahama JF
 
Last edited by a moderator:
Mentor asipoelewa hili darasa me na Kaizer tunahama JF

Haya we Mentor, uko tayari mrembo H.O.E aondoke jf kwa ajili ya wewe kutoelewa darasa? Wakati unasema huoni wa kuoa kumbe wewe ndo unasababisha warembo waondoke. Ujue pia watu wengi wanategemea ushauri wa Kaizer humu ndani, halafu hata mie sipendi watu waondoke maana ndo kwanza nimeingia humu.
 
Last edited by a moderator:


Ukiweka na zile + za kutosinzia ... balance ngapi!??


tuambatanishe nini na nini

cc mwallu na Kaizer


Maombi ya kufikiriwa kuwa na mahusiano na Mentor:

- Cover letter
- Letter of Motivation (Personal Statement, stating why you think are the best candidate for such position. Yaani, how will it make it you a better person na how will it make me a better person! i.e. What's in it for US??)
- Recent colored full-size picture
- CV (short and clear)
- Udhamini wa wtu wawili kutoka JF
 
balance -45000
 

mmmmhhhhh...... Kasinde....
 
Last edited by a moderator:
Leteni maombi.

CC: wewe mwenyewe Heaven on Earth, mwallu, Munkari, na wenzenu...

At least, now you are talking. But dont make it tough and dont play hard to get, ujue kuna bachelors wengine humu pia wanawatolea macho hao warembo...
All the best warembo on Mentor's application looh sasa sjui atafanya interview au application and attachments zitatosha looh.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…