Ni kweli kabisa mkuu Thad, tatizo nilichelewa kuligundua hili. Ila kwa sasa nipo makini sana. Na imenisaidia nina amani na furaha kwa kweli...huoni siku hizi sina visa tena kama zamani.
ni wadada wachache ambao ni warembo wanaojitambua na kujilinda! ukimpata wa hivi unamshukuru Mungu! usikate tamaa bado una nafasi ya kusubiri, huyu inaonekana alikuwa nao wengi na jinsi ya kuwaacha ilikuwa ngumu kwake,

huyu aliekuwa amempata kamsifia sanaa ila mwisho wa siku dada mrembo kam cheat mwenzie ndio maana nimesema ni wachache kwa dunia ya sasa!! ni mtazamo wangu tu, na hayo pia ni mawazo yako dada.