Nimempa shemeji yangu Mimba

Kwani zile story za kujikojolea na kupandisha mashetani zilishindwa? Maana ilikuwa amazing sana. Mbinu zako za kujikojolea na kukauka na Dada mtu kukimbia Nje ziligonga mwamba?
 
Hapo umepitiliza mkuu .huyo aliyekupitia atakiwa shetwani maana ni zaidi ya sheteni.Ila pia wanawake ni wajasiri wa kufa mtu.yaani unakubali kumvulia chupi mme wa dada ako bila haya yoyote.lakiki pia hata unaweza ukawa umebambikiwa huo mzigo
 
Ujinga wa huu umeshawahi kusababisha kifo kwa mke halali wa ndoa na watoto kuishia kufukuzwa na huyo bimdogo-ndugu bila kujali kuwa ni watoto wa ndugu yake na anakaa kwenye nyumba ya mama yao na yeye ndiye mkosaji.
 
hainaga ushemeji tunakulaaa
 
Mwenye maamuzi ni yeye, na utaipatapata kama ni mjanja lazima akuvune pesa za kutosha ndo utakoma
 
Ulipoandika uzi ule humu kumbe uliwadharau waliokushauri vizuri..

Sasa ndio utajiju.. huyo ni hadi ukoo wote utajua ulichofanya.. na unaendelea kumuachia aishi kwako.. eeeh vitimbi vyake kwa mkeo utaviona.. kwa kuwa ulitaka kukimbia inaonyesha kuwa unamtaka yeye zaidi ya mkeo.. namuombea mkeo ajue haraka ulichokifanya nae aumie na kujiamulia mapena analotaka. Kama wamekuseti nalo mtajiju.. mwanaume wewe mchafu sana kumvulia shemeji yako nguo zako.. shaaaa kichefuchefu
 
Mijitu mingine aisee hopeless kabisa, saaasa nani kasema hapo kwamba anapesa nyingi zaidi ya....? hadi unakurupuka kuandika ujinga.

Kwa mwenendo huu wa akili bofubofu mwakani ndo kabisa hamtoona maembe kabisa nchini labda ya ku-download.
 
Haaa haa haa aiseee at amepata alichokua anahitaji wala haon
Hata aibu Kwa Dada yake
 
Eeeeh kichambo takatifu hiki

Shuhuli ameipata huko aliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…