Nimempa mimba mama mkwe wangu

kama ni kweli rejea kwenye wimbo wa sjui nani niiiiiiiiii hustoe mimba yangu we, kwa yawezekanana mke wangu kazaa boya ila mama mkwe atazaaa Broo Magu nakuomba nderela hustoe mimba yanguuuuuu weeeeeeeeeeee ebu imba huu wimbo kaka
 
Reactions: PNC
Mambo ya wanaume wa Darisalama haya!!

Sasa tukashauri nn? Unavyoonekana hujutiii hata dhambi yako!.
 
vipi bimkubwa alikua mtamu lakn? au kiroho ngumu tu?
 
Wanaume wa dar , inabidi wachunguzwe sio bure na wewe kama sio mkwere,mzaramo, mtu wa tanga ,mngendereko na makabila ya pwani sijui

Wanaume wa mikoani tunaheshim sana wakwe zetu
 
Mwambie atoe akizaa italeta shida
 
kama ni kweli rejea kwenye wimbo wa sjui nani niiiiiiiiii hustoe mimba yangu we, kwa yawezekanana mke wangu kazaa boya ila mama mkwe atazaaa Broo Magu nakuomba nderela hustoe mimba yanguuuuuu weeeeeeeeeeee ebu imba huu wimbo kaka
Teh teh teh jamaa aimbe songi kwanza kama picha ya kihindi
 
Naona umeamua Kula kuku Na mayai yake ...
 
Mwambie atoe maana hamna namna. Na wew ukitulize sasa utaugua ugonjwa wa wazee
Dada yaani upo katili kihivyo? unampa ushauri wa kuuwa mtoto. kauli yako haiendani kabisa na jina lako na avata yako mmhh
 
Mkuu mimi naona kama na wewe upo katika ile 49% ya dna aliyosema waziri wa afya.
 
Ni jambo jema kusema usaidiwe ila ni vema kila mmoja ajue kwani Hilo tatizo
 
Dada yaani upo katili kihivyo? unampa ushauri wa kuuwa mtoto. kauli yako haiendani kabisa na jina lako na avata yako mmhh
Kuwa mpole, sio kila mtu anaomba ushauri nyingine ni chai
 
vipi siku ya kwanza ulipiga goli ngapi?!
 
Umekula kuku na mayai yake. Hongera saaana. Hivi kwani ukipima nani ni fundi wa mavitu ya kitandani, mama au mtoto? Sasa unaogopa nini, akija home unamweleza maza hauze kwamba huyo nae mwenzio. Halafu unasikilizia mziki utaendaje, kwani mwisho wa siku itakuwa kawaida, na mtoto akizaliwa inakuwa pouwa na mapenzi motomoto. Ukinda kwa mama unaitwa 'baby, ukirudi kwa mtoto unaitwa 'honey', raha tupu maisha yanogile kwa saaana.
 
Kuwa mpole, sio kila mtu anaomba ushauri nyingine ni chai
Ni kweli inaweza ikawa chai lakini jee ikiwa kweli na akaufata ushauri wako? Kuna siku kuna mdada mmoja aliniomba nimpeleke hospitali sikujua anaumwa na nini mpaka nilipofika ndio nikaijua picha yote kuwa anataka kuitowa mimba. Nilimshauri sana asiitowe lakini hajakubali wakati tukirudi sikuongea nae njiani na sikuweza kumuacha pale hospitali peke yake kwasababu ilikuwa mbali kidogo. tukiwa njiani tulipata ajali mbaya sana mpaka leo sijaongea nae huyo mdada.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…