Kwamba atakua Rais wa TzHizi story ya uongo kama zile za Lowasa.
Malipo ya uzinzi ndio hayo umeumbuka pabaya 😀Wasalaaam wanaJF nikiwa bado na huzuni yangu dhidi ya Barcelona
Leo kwa mara ya kwanza ninaomba ushaur hapa jukwaani kama kichwa cha habar kinavyojieleza kuwa nina mke na mtoto mmoja ila katika pitapita zangu nikakutana na Mmama wa makamo. Kumbe yule alikuwa ni mama mdogo wa mkewangu ila ckutambua had pale nilipomaliza kufanya yangu Siku moja tukiwa sehemu tulivu nikashika simu yake nikakuta picha ya Wife kwenye simu yake nilipomuuliza akanijibu kuwa hyo picha ni ya mwanae mtoto wa dada yake kiukweli hamu yote ikaniisha. Niliporud home nikamuuliza wife unamjua mtu fulani akasema ndio ni mama yake japo ni mtu wa pilikapilika kwenye biashara zake ila alimuahid siku moja angekuja kumtembelea
Sasa kubwa zaidi tiyar kitu kimenasa tumboni na kanihakikishia ni yangu japo mahusiano naye nimepunguza baada ya kugundua ukweli ila kila nikifikiria sipati majibu hvyo nimeleta hapa jukwaani Home of Great Thinker naamini nitapata angalau ushauri
ZIADA
WAKUU TUWEKENI MASIKHARA PEMBENI NA KWA WANAOJUA NI UONGO SIWEZ KUJA HAPA KUWEKA UTANI INGEKUWA NI UONGO NINGEPELEKA JUKWAA LA JOKES. OMBI LANGU TUACHE MIZAHA KAMA HUNA CHA KUCHANGIA PITA KAMA KIVULI KINGINE MIMI SIISHI DAR
i watamu hao acha tuu omba ukutane na maku mnato...natafuta jimamaHakuna ushauri hapa kilichokusibu kutembea mama zako
Nahisi alimwambia mama xjaoa na cna mtoto ndio maana bim mkubwa akazidisha mbwembwe ili wapate kababy xaxa ataanzaje kumwambia wanaume macho utosini haoMwambie ukweli uone ana react vipi, utapata sehemu ya kuanzia. Mwambie wewe ni mama mkwe wangu na limetokea hili; muombe mshauriane nini cha kufanya kabla ya taarifa za umbea kumfikia mkeo!!. Shahara wa dhambi ni mauti!
Ungekuwa demu tungekwita KAHABA ila hapa sijui tukuitwe Mzee VANGUVANGUWasalaaam wanaJF nikiwa bado na huzuni yangu dhidi ya Barcelona