Nimempa mimba mama mkwe wangu

Nimempa mimba mama mkwe wangu

Nahisi alimwambia mama xjaoa na cna mtoto ndio maana bim mkubwa akazidisha mbwembwe ili wapate kababy xaxa ataanzaje kumwambia wanaume macho utosini hao
Hapo patamu sana!, ha ha haaaah. Tangu tujue wanawake wanapenda kuambiwa UONGO basi tunautumia ipasavyo hata ambapo haifai. "CCM wamshauri kijana kwamba aisome namba! hata kama haijaandikwa"
 
kwanza tuanze na huzuni yako ya barcelona kufungwa ! ukweli kabisa madrid ilistahili kushinda huo ndo ukweli, barca wana mapungufu maana goli la pili limeingia madrid wakiwa pungufu tena ugenini....
pili kuhusu mada kuu! kaa na huyo mmama mwambie ukweli ili ajue maana siku akija kuwatembelea akikukuta pale atashtuka na mkeo anaweza kuhisi kitu na kumfanya aanzishe upelelezi. mwambie ili ye mwenyewe mama mkwe ajue nini ataamua kuhusu hatma ya hiyo mimba
 
Hivi siku hizi matumizi ya kondom yamepungua, kama sio kuisha kabisa
 
Mkuu..
Mimi nakushauri ukamwone Jecha Salum Jecha haraka uwezavyo..
 
Wasalaaam wanaJF nikiwa bado na huzuni yangu dhidi ya Barcelona
Leo kwa mara ya kwanza ninaomba ushaur hapa jukwaani kama kichwa cha habar kinavyojieleza kuwa nina mke na mtoto mmoja ila katika pitapita zangu nikakutana na Mmama wa makamo. Kumbe yule alikuwa ni mama mdogo wa mkewangu ila ckutambua had pale nilipomaliza kufanya yangu Siku moja tukiwa sehemu tulivu nikashika simu yake nikakuta picha ya Wife kwenye simu yake nilipomuuliza akanijibu kuwa hyo picha ni ya mwanae mtoto wa dada yake kiukweli hamu yote ikaniisha. Niliporud home nikamuuliza wife unamjua mtu fulani akasema ndio ni mama yake japo ni mtu wa pilikapilika kwenye biashara zake ila alimuahid siku moja angekuja kumtembelea
Sasa kubwa zaidi tiyar kitu kimenasa tumboni na kanihakikishia ni yangu japo mahusiano naye nimepunguza baada ya kugundua ukweli ila kila nikifikiria sipati majibu hvyo nimeleta hapa jukwaani Home of Great Thinker naamini nitapata angalau ushauri
ZIADA
WAKUU TUWEKENI MASIKHARA PEMBENI NA KWA WANAOJUA NI UONGO SIWEZ KUJA HAPA KUWEKA UTANI INGEKUWA NI UONGO NINGEPELEKA JUKWAA LA JOKES. OMBI LANGU TUACHE MIZAHA KAMA HUNA CHA KUCHANGIA PITA KAMA KIVULI KINGINE MIMI SIISHI DAR


Hongera sana, je, baba mkwe hujamwingilia bado?
 
kwani ye anasemaje....hakuna zaidi ya kuzaaa na haiwezi kuw siri itajulikana tu so subiri huo muda tu balaa likikushukiala ndoa kuingia hatari
 
Haina shida mtoto atakayezaliwa atakuwa mdogo wa mkeo na shemeji kwako kwa kuwa umemwolea dada yake! Pia huyo mama mdogo wa mkeo atakuwa mke mwenza kwa mwanae...hongera kesho zaa na bibi wa mkeo!
hahahaahahahahaaaaaaaaaaaa
 
Hivi mimba hupeanwa? Au huchomekwa? Au hutiwa? Au Mtu hubebeshwa mimba? au ni vipi? Naomba wataalamu wa lugha ya kiswahili wanieleweshe tafadhali, kabla sijaenda mbali....
 
Haina shida mtoto atakayezaliwa atakuwa mdogo wa mkeo na shemeji kwako kwa kuwa umemwolea dada yake! Pia huyo mama mdogo wa mkeo atakuwa mke mwenza kwa mwanae...hongera kesho zaa na bibi wa mkeo!

kwa kweli familia hizi zinavituko sana sijui hata anajionaje katika jamii
 
kwa kweli familia hizi zinavituko sana sijui hata anajionaje katika jamii

Tumesitriwa mengi sana tunayofanya sirini...unadhani kila tunalofanya lingekuwa wazi ni wangapi miongoni mwetu wangethubutu kupita mbele za watu?
 
Sasa kama bado unaendelea kumla ma'mkwe...unahitaji ushauri wa nini?...

umekiri hujaacha ila umepunguza tu....

lakini pia hujasema kama umewahi kumuuliza kama anamfaham mumewe na mwanae...
 
Wasalaam wanaJF,

Nikiwa bado na huzuni yangu dhidi ya Barcelona, leo kwa mara ya kwanza ninaomba ushauri hapa jukwaani.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa nina mke na mtoto mmoja ila katika pitapita zangu nikakutana na mmama wa makamo.

Kumbe yule alikuwa ni mama mdogo wa mkewangu ila sikutambua hadi pale nilipomaliza kufanya yangu. Siku moja tukiwa sehemu tulivu nikashika simu yake nikakuta picha ya wife kwenye simu yake nilipomuuliza akanijibu kuwa hiyo picha ni ya mwanae mtoto wa dada yake kiukweli hamu yote ikaniisha.

Niliporudi home nikamuuliza wife unamjua mtu fulani akasema ndio ni mama yake japo ni mtu wa pilikapilika kwenye biashara zake ila alimuahidi siku moja angekuja kumtembelea.

Sasa kubwa zaidi tayari kitu kimenasa tumboni na kanihakikishia ni yangu japo mahusiano naye nimepunguza baada ya kugundua ukweli ila kila nikifikiria sipati majibu hivyo nimeleta hapa jukwaani Home of Great Thinker naamini nitapata angalau ushauri.

ZIADA WAKUU TUWEKENI MASIKHARA PEMBENI NA KWA WANAOJUA NI UONGO SIWEZI KUJA HAPA KUWEKA UTANI INGEKUWA NI UONGO NINGEPELEKA JUKWAA LA JOKES.

OMBI LANGU TUACHE MIZAHA KAMA HUNA CHA KUCHANGIA PITA KAMA KIVULI KINGINE MIMI SIISHI DAR.
Yaaa hayo ni malipo halali ya kumsaliti mkeo, subiria ajifungue umtambulishe kwa mkeo, Sawa? Na akitoa tuu hiyo mimba atakufa nayo.
 
sawa pnc 1 hauishi Dar ila kilichokufanya uangaike na wanawake nje wakati una mke ni nini?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
sawa pnc 1 hauishi Dar ila kilichokufanya uangaike na wanawake nje wakati una mke ni nini?
Ajali kazini pia tunajifunza kutokana na makosa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom