Nimempa kufuli sio lake

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,035
15,540
JF sema yeeee!
Hahahaha

Nacheka tuuu sa hizi.
Baada ya kubanjuana dem kaniomba nimpe kyupi yake.
Na giza lile la chini kitanda nikaanza kupapasa nikaokota nikampatia.
Afana leik
Limetoka bonge la chupi yaani ameivaa ikawa km pedo hahaha
(Yaani weee kaka sitakaa ht nikusalimie kw ulichonifanyia!)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungeibeba kimya kimya kwenda kumpunguzia kwa fundi mkuu

CC Zero IQ
 
Nimecheka sana. Hapo lazima amkumbuke ex wake yule aliyepoa kama mkojo wa ngedere( wanasemaga hivyo wao)

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mbembeleze umwambie ilikuwa ya kwako kipindi umetoka bush

Atakuamini tu maana hawa viumbe wanapenda sana kudanganywa
 
JF sema yeeee!
Hahahaha

Nacheka tuuu sa hizi.
Baada ya kubanjuana dem kaniomba nimpe kyupi yake.
Na giza lile la chini kitanda nikaanza kupapasa nikaokota nikampatia.
Afana leik
Limetoka bonge la chupi yaani ameivaa ikawa km pedo hahaha
(Yaani weee kaka sitakaa ht nikusalimie kw ulichonifanyia!)

Sent using Jamii Forums mobile app
Next time usizime taa... Baada ya mechi ukawasha taa unaweza kutamani kufa kabla hujafariki kwa utakachokiona...

Jr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom