Nimemnunulia Vitz hataki anataka Klugger

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo mana mnaitwa wanaume wa Dar
maana mada zenu hazina hata uzito.....

you need Jesus Christ
 
daaah watu wengine bhana unamnunulia mchumba gari ????utakuja kulia siku moja na kusaga meno. wanawake hawaeleweki wapo kama kinyonga funguka acha umbulula
 
huyo kimeo. Mpenz wa kweli huridhika hata km ukimnunulia piki piki. Umejichanganya mkuu gar ananunuliwa mke tu. Huyo hata ukimuoa atakusumbua sana. Siku ukifuria huyo lzm akukumbie mkuu. Mpenz wa kweli ni yule anayeridhika
 
Jamn mbona wengine mapovu [emoji30]
 
Hata Prof. J alimnunulia mpenzi wake "Soda" akakataa, akataka "Togwa"

Usijali ni kutokana na asili yake alipotoka tu.
 
Jamani yamenikuta! Fiance wangu nimemnunulia Vitz mpya hataki anataka nimpe Klugger yangu mi ndo nichukue Vitz.

Ana mapenzi ya dhati kweli huyu?
Kuna Vits mpya inauzwa, weka bei mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…