Nimemnunulia Smart Phone ya laki Nne, cha kushangaza kila nikimpigia usiku yupo busy sana..

Direct kwenye mada..

Wanawake jaribuni kuwa na huruma japo kidogo, yani juzi tu apa nimemnunulia demu wangu smart cha kushangaza ikifika saa nne usiku tu kila nikipiga ipo busy mpaka saa tano.. Swali ni kwamba anaongea na nani au ndio nimeuzwa tayari? Tupeane mawazo nisije panic hapa

Pumbav sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekutana na asiyejua thamani ya kupendwa au asiye na shukurani. Mkalishe chini umuulize kwa upole tu huenda anakuwa bize akiongea na mama yake huko kijijini!

Kwa vyovyote vile pole, coz umemnunulia simu hiyo sababu unampenda na unarahisisha mawasiliano kati yenu lakini haijawa ulivyotarajia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Direct kwenye mada..

Wanawake jaribuni kuwa na huruma japo kidogo, yani juzi tu apa nimemnunulia demu wangu smart cha kushangaza ikifika saa nne usiku tu kila nikipiga ipo busy mpaka saa tano.. Swali ni kwamba anaongea na nani au ndio nimeuzwa tayari? Tupeane mawazo nisije panic hapa

Pumbav sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani ulimpa masharti ya kutumia hiyo simu? Nyie watu mnamatatizo kabisa. Kumnunulia simu unataka kumpora na uhuru wake?
Ulipomnunulia hukutuambia, leo unatushirikisha ujinga wako? Koma kabisa naacha hii tabia ya ubinafsi
 
Direct kwenye mada..

Wanawake jaribuni kuwa na huruma japo kidogo, yani juzi tu apa nimemnunulia demu wangu smart cha kushangaza ikifika saa nne usiku tu kila nikipiga ipo busy mpaka saa tano.. Swali ni kwamba anaongea na nani au ndio nimeuzwa tayari? Tupeane mawazo nisije panic hapa

Pumbav sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaongea na mume mwenzio. Jiongeze mtoto wakiume.
Unamnunulia mwanamke simu halaf anakuletea ujinga ujinga kama huo. Kachukue simu kwa nguvu mwachie line zake.. no games

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Direct kwenye mada..

Wanawake jaribuni kuwa na huruma japo kidogo, yani juzi tu apa nimemnunulia demu wangu smart cha kushangaza ikifika saa nne usiku tu kila nikipiga ipo busy mpaka saa tano.. Swali ni kwamba anaongea na nani au ndio nimeuzwa tayari? Tupeane mawazo nisije panic hapa

Pumbav sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila ukianza ujasiriamali upate faida papo hapo
#risk taker

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Smart ya laki nne brother unamind, mimi nilimnunulia iPad ya bei ghali asijihangaishe na kununua material kujisomea chuo nikaja kukuta lijamaa limeweka app ya ku trade forex sijui meta trade nini...nikasema hiiiiiiiihiiii niazime, baada ya hapo nikamwambia imeibiwa , japo mapenzi yalipungua kiasi ila bado ninamtafuna na ananidai iPad yake, aendelee kusibiri
 
Direct kwenye mada..

Wanawake jaribuni kuwa na huruma japo kidogo, yani juzi tu apa nimemnunulia demu wangu smart cha kushangaza ikifika saa nne usiku tu kila nikipiga ipo busy mpaka saa tano.. Swali ni kwamba anaongea na nani au ndio nimeuzwa tayari? Tupeane mawazo nisije panic hapa

Pumbav sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo demu siyo mpumbavu jombaa bali wewe ndo mpumbavu,
Huwezi mnunulia mwanamke tena demu wakati huenda una ndugu zako kijijini huko hawana hata nikia tochi.
Kama una mpunga wa kutosha huwezi kuja hapa mwanaume mzima unalalama
Saidia ndugu zako acha kujichora mitandaoni huenda kuna watu wamekosomesha lakin hujawahi kuwanunulia hata sabuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom