Juma moja lililopita nilijieleza wazi kwamba nampenda sana mdada huyu na kumwomba namba yake ya simu. Kutokana na hilo nilidiliki hata kumwomwomba Rose1980 na Afrodenz wanipigie debe. Rose1980 alinishauri nifanye kitu fulani, nikafanya na atathibitisha yy mwenyewe. Cha ajabu ni kwamba sijaona tena post wala reply ya DA. Bado nampenda na naendelea kumpa nafasi. Kama ana mkataba na mtu basi!

Sasa kama unampenda ndio lazima ulazimishe nae akupende,...mtu umeeleza hisia zako kama unampenda nae pia ana haki ya kupenda au kutompenda mtu yeyote hata kama huyo mtu anampenda kama ww,.....take it easy acha kulalamaJuma moja lililopita nilijieleza wazi kwamba nampenda sana mdada huyu na kumwomba namba yake ya simu. Kutokana na hilo nilidiliki hata kumwomwomba Rose1980 na Afrodenz wanipigie debe. Rose1980 alinishauri nifanye kitu fulani, nikafanya na atathibitisha yy mwenyewe. Cha ajabu ni kwamba sijaona tena post wala reply ya DA. Bado nampenda na naendelea kumpa nafasi. Kama ana mkataba na mtu basi!