Nimemkuta Kachora Tattoo sehem mbaya sana!!

Wakuu,
Kuna manzi tumedumu kwa miezi 4,
Kwa kipindi chote, jana ndo nimefanikiwa ku.....

Kwakipindi kirefy alikuwa ananibania sana, na nimegundua baada ya Janaa.

Ni hivi, huyu manzi kachora Tattoo ya love kwenye paja karibu na papuch kabisaa..

Baada ya game nilimwuliza nani alimchora na kwann alichora sehem hiyo?

Aliniambia alichorwa na mpenzi wake kipinndi hiko ni slay queen, na alikuwa kalewaaa....

Kiukweli, nilitaka nimuoe mwakan ila sasa hili linanisumbua....

Kuna ambae kakutana na haya?
Kwan alijua kama atakuja kukutana na ww
 
Spiritually (kikristo) mtu anapochora tatoo anaingia kwenye covenant au agano ambalo linamfanya tabia na mwenendo wake ziendane agano aliloingia kwa kujua au kutokujua na ndiyo sababu mtu mwenye tatoo lazima atahakikisha inaonekana popote ilipo, hata mavazi yake atavaa yanayoonesha tatoo hata kama ipo kwenye t*ko.
Bahati mbaya wengi huchukulia kuwa ni kawaida hivyo hawachukua hatua ya kuombewa na kuvunja covenant. Ndiyo maana hata wanaokupa maoni wanakupa kwa kuchukulia kirahisi tu, jaribu kutafakari mtu ana ujasiri gani wa kutulia nankuchora tatoo karibu kabisa na sehemu za siri?

Sababu wewe ndo unamfahamu unaweza kuamua chochote ila una haki ya kufikiri mara mbili juu ya uhusiano wako haswaa mahusiano yenu na Mungu. Vinginevyo, utaikumbuka hii post.
Hilo lilikuwa agano kati yake na huyo mpenzi wake wa zamani.

Nadhani huyo dada ashauriwe kumtafuta huyo mpenzi wake wa zamani

Tattoo haifutiki daaah, alafu ipo karibu na Nkana FC!!!!
 
Kuna demu mmoja hivi mweusi aliwahi kuchora tattoo ya kipepeo na baadae akaja kunenepa, aiseee ile tattoo ilikuwa inaonekana kama kiatu.
Umemuhoji lakn amekupa jibu simple sana na inaonekana wamefanya mambo mengi sana na huyo jamaa take.
Ulevi Mara tattoo nadhan endelea kumchunguza kwa kina kwanza kabla hujamwambia kuwa unataka kumuoa.
Fatilia nyendo zake aina za marafiki zake wa sasa utajua mengi zaidi. Ukijiridhisha kuwa anafaa mbali na hyo tattoo bs unaweka ndani mke
 
Kawaida sana mkuu hasa kwa kizazi chenu. We unashangaa kachorwa kwenye paja wakati wengine wanachorwa kwenye tunda kabisa. Zaidi ushukuru huyo jamaa hakuandika "Godfrey passed here 2015 - 2017".

Anyway, huo si ugonjwa kama unampenda mpe confidence na msaidie apone huwezi jua waliachana vipi na ni yapi yalimpata huko.
Duh aisee hadi mwaka
 
Wakuu,
Kuna manzi tumedumu kwa miezi 4,
Kwa kipindi chote, jana ndo nimefanikiwa ku.....

Kwakipindi kirefy alikuwa ananibania sana, na nimegundua baada ya Janaa.

Ni hivi, huyu manzi kachora Tattoo ya love kwenye paja karibu na papuch kabisaa..

Baada ya game nilimwuliza nani alimchora na kwann alichora sehem hiyo?

Aliniambia alichorwa na mpenzi wake kipinndi hiko ni slay queen, na alikuwa kalewaaa....

Kiukweli, nilitaka nimuoe mwakan ila sasa hili linanisumbua....

Kuna ambae kakutana na haya?
Hamsahau huyo jamaa kamwe! Cha kufamya wewe uwe unapooza mashine ila tafuta demu mwingine.
 
Spiritually (kikristo) mtu anapochora tatoo anaingia kwenye covenant au agano ambalo linamfanya tabia na mwenendo wake ziendane agano aliloingia kwa kujua au kutokujua na ndiyo sababu mtu mwenye tatoo lazima atahakikisha inaonekana popote ilipo, hata mavazi yake atavaa yanayoonesha tatoo hata kama ipo kwenye t*ko.
Bahati mbaya wengi huchukulia kuwa ni kawaida hivyo hawachukua hatua ya kuombewa na kuvunja covenant. Ndiyo maana hata wanaokupa maoni wanakupa kwa kuchukulia kirahisi tu, jaribu kutafakari mtu ana ujasiri gani wa kutulia nankuchora tatoo karibu kabisa na sehemu za siri?

Sababu wewe ndo unamfahamu unaweza kuamua chochote ila una haki ya kufikiri mara mbili juu ya uhusiano wako haswaa mahusiano yenu na Mungu. Vinginevyo, utaikumbuka hii post.
Mkuu umeandika point imeniingia, mmh kuna kaukweli hapo, yaan mwanamke anaechora tatoo namuona kama muhuni muhuni hv
 
We unahangaika na hyo tatoo kwani tobo limefunikwa. Ww unahangaika nayo ya nini! Kila mtu ana past au ujinga wake aliwahi kufanya miaka ya nyuma, sasa ww usimhukumu huyo sababu ya tatoo. Na ushukuru ht kawa mkweli maana angeweza kukudanganya.. Ndio maana wanasema uongo husaidia muda mwingine.
 
Tattoo ya love
emoji3590.png
kwenye paja karibu na papuch kabisaa..
hapo mkuu ni hatari usiovateki utasababisha ajali eneo hilo ni baya sana
 
Wakuu,
Kuna manzi tumedumu kwa miezi 4,
Kwa kipindi chote, jana ndo nimefanikiwa ku.....

Kwakipindi kirefy alikuwa ananibania sana, na nimegundua baada ya Janaa.

Ni hivi, huyu manzi kachora Tattoo ya love kwenye paja karibu na papuch kabisaa..

Baada ya game nilimwuliza nani alimchora na kwann alichora sehem hiyo?

Aliniambia alichorwa na mpenzi wake kipinndi hiko ni slay queen, na alikuwa kalewaaa....

Kiukweli, nilitaka nimuoe mwakan ila sasa hili linanisumbua....

Kuna ambae kakutana na haya?

Run my son.....

Dont wife a hoe!
 
Achana nae au futa tatoo hiyo, vinginevyo utakuwa unaumia kila ukiiona, na kibaya zaidi iko sehemu nzuri.
 
Back
Top Bottom