dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,936
- 8,345
Acha niepuke dhambi hapaMental health deterioration
Aisee "Uzi tayari" 🤣🤣🤣Juzi kariakoo kuna mambo nilifuata. Nikiwa huko i saw this fine looking lady. Damn she is gorgeous! She's a mixed race btn asian and black i think! Aaah sijui kwa nini nimemkumbuka aisee na hata namba hakunipa.
Uzi tayari.
Okay thenJuzi kariakoo kuna mambo nilifuata. Nikiwa huko i saw this fine looking lady. Damn she is gorgeous! She's a mixed race btn asian and black i think! Aaah sijui kwa nini nimemkumbuka aisee na hata namba hakunipa.
Uzi tayari.
Kwahiyo ulimuomba namba kakataa sio? Sasa unakuja hapa unalialia ili tukufanyeje?Juzi kariakoo kuna mambo nilifuata. Nikiwa huko i saw this fine looking lady. Damn she is gorgeous! She's a mixed race btn asian and black i think! Aaah sijui kwa nini nimemkumbuka aisee na hata namba hakunipa.
Uzi tayari.
kariakoo, magomeni na sehemu kadhaa za uswahilini hata posta, kuna wanadamu wengi tu wanatembea ila sio watu, ni majini/mashetani. ni majini kabisa. wengine wanakuwa kama wanawake, wengine wanaume, na wanakuwa na mvuto hivyo hivyo. wapo watu waliowahi kuwatongoza na wakaja kugundua wamelala na jini na waliteseka sana kuyatoa.Juzi kariakoo kuna mambo nilifuata. Nikiwa huko i saw this fine looking lady. Damn she is gorgeous! She's a mixed race btn asian and black i think! Aaah sijui kwa nini nimemkumbuka aisee na hata namba hakunipa.
Uzi tayari.
Hii kitu imenivutia kusikia zaidi.....ebu tudadavulie kiundani mkuu tuelewe vizurikariakoo, magomeni na sehemu kadhaa za uswahilini hata posta, kuna wanadamu wengi tu wanatembea ila sio watu, ni majini/mashetani. ni majini kabisa. wengine wanakuwa kama wanawake, wengine wanaume, na wanakuwa na mvuto hivyo hivyo. wapo watu waliowahi kuwatongoza na wakaja kugundua wamelala na jini na waliteseka sana kuyatoa.
ni kwamba, majini na mashetani wanao uwezo kuzaa na wanadamu, ilishawahi kutokea hivyo hata enzi za zamani malaika waliotupwa chini kuvamia wanadamu wakazaa nao wakatokea watoto walioitwa majiti (the giants) kina Goliath wa kule Gaza ya palestina na wengine. hao walikuwa majitu yenye miili mikubwa kuliko hii na yalitumiwa na shetani kufanya kila lililo kinyume na watu wa Mungu.Hii kitu imenivutia kusikia zaidi.....ebu tudadavulie kiundani mkuu tuelewe vizuri
Dah aisee dunia ina mambo mengi sana.....nashukuru sana mkuu kwa ufafanuzi huu nimepata kituni kwamba, majini na mashetani wanao uwezo kuzaa na wanadamu, ilishawahi kutokea hivyo hata enzi za zamani malaika waliotupwa chini kuvamia wanadamu wakazaa nao wakatokea watoto walioitwa majiti (the giants) kina Goliath wa kule Gaza ya palestina na wengine. hao walikuwa majitu yenye miili mikubwa kuliko hii na yalitumiwa na shetani kufanya kila lililo kinyume na watu wa Mungu.
hapahapa bongo, wachawi wanaelewa hili, mara nyingi tu wanawake wanaamkaga asubuhi wanakuta wamelowa, wamefanywa kichawi na wachawi bila wao kujua, pia majini yanalala na yanaoa wanawake na wanaume wengi tu, watu wa Tanga na watu wa pwani wanajua hili, na hata humu yawezekana wapo walioolewa na majini. yapo pia yale wengi wanayajua kama pepo mahaba/jini mahaba ambalo linakujia kwenye ndoto usiku na unahisi uhalisia kufanya tendo la ndoa. kwa ufupi, majini na mashetani na wachawi, wanao uwezo kukufanya chochote kama hauna Yesu Kristo moyoni. ninyi nyote msio na Yesu moyoni, mnaweza kuingiliwa na majini any time, unakumbuka kipindi cha popobawa?
majini ya aina hiyo sasa, wakati mwingine huwa yanavaa mwili wa mwanadamu na yanazurura mitaani, na yana nguvu ya mvuto kwa yeyote asiye na Mungu. na majini hujivika mwili wa sura nzuri, ila kiuhalisia yana sura mbaya kuliko chochote. kule kariakoo yamejaaa na njia panda ya magomeni mataa pale. mara nyingi tu watu huwa wanakutana na watu, na wale wenye macho ya kiroho huwa wanayaona, ila yakiona mlokole huwa yanabadilisha njia yanakimbia.
ni kwamba, majini na mashetani wanao uwezo kuzaa na wanadamu, ilishawahi kutokea hivyo hata enzi za zamani malaika waliotupwa chini kuvamia wanadamu wakazaa nao wakatokea watoto walioitwa majiti (the giants) kina Goliath wa kule Gaza ya palestina na wengine. hao walikuwa majitu yenye miili mikubwa kuliko hii na yalitumiwa na shetani kufanya kila lililo kinyume na watu wa Mungu.
hapahapa bongo, wachawi wanaelewa hili, mara nyingi tu wanawake wanaamkaga asubuhi wanakuta wamelowa, wamefanywa kichawi na wachawi bila wao kujua, pia majini yanalala na yanaoa wanawake na wanaume wengi tu, watu wa Tanga na watu wa pwani wanajua hili, na hata humu yawezekana wapo walioolewa na majini. yapo pia yale wengi wanayajua kama pepo mahaba/jini mahaba ambalo linakujia kwenye ndoto usiku na unahisi uhalisia kufanya tendo la ndoa. kwa ufupi, majini na mashetani na wachawi, wanao uwezo kukufanya chochote kama hauna Yesu Kristo moyoni. ninyi nyote msio na Yesu moyoni, mnaweza kuingiliwa na majini any time, unakumbuka kipindi cha popobawa?
majini ya aina hiyo sasa, wakati mwingine huwa yanavaa mwili wa mwanadamu na yanazurura mitaani, na yana nguvu ya mvuto kwa yeyote asiye na Mungu. na majini hujivika mwili wa sura nzuri, ila kiuhalisia yana sura mbaya kuliko chochote. kule kariakoo yamejaaa na njia panda ya magomeni mataa pale. mara nyingi tu watu huwa wanakutana na watu, na wale wenye macho ya kiroho huwa wanayaona, ila yakiona mlokole huwa yanabadilisha njia yanakimbia.
Hata humu JF wengi sio watukariakoo, magomeni na sehemu kadhaa za uswahilini hata posta, kuna wanadamu wengi tu wanatembea ila sio watu, ni majini/mashetani. ni majini kabisa. wengine wanakuwa kama wanawake, wengine wanaume, na wanakuwa na mvuto hivyo hivyo. wapo watu waliowahi kuwatongoza na wakaja kugundua wamelala na jini na waliteseka sana kuyatoa.
Fisi unajilaumu, sikunyingine usave kulingana na matukio place eneo, mfano #Airport mrembo ughaibuni.Mkuu umenikumbusha machungu, kuna demu alinipa namba pale Airport alikua anaenda uko ughaibuni ila nilisahau nilivomsave mpaka leo
yule mtoto kaumbika zaidi ya malaika