Nimemkumbuka sana RC John Mhaville wa Dar es Salaam wakati tukiwa vijana, alikuwa hana mizaha awapo kazini au nyumbani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,150
Nadhani wakati wa RC Mhaville jijini Dsm mwanajf Pascal Mayalla ulikuwa tayari umeajiriwa RTD na kamanda Mrangi mzee wa Ova ulikuwa unauza Raba za mitumba tukiziita Raba mtoni enzi zile.

Kwa kweli sipati picha kama mzee Mhaville angekuwa ndiye RC wa Dsm nyakati hizi za Corona.
Mzee Mhaville alilimudu jiji aiseee!

Maendeleo hayana vyama!
 
Hivi wewe jamaa huwaga unawaza nini hadi unaadika kila kukicha mambo ya ajabu ajabu?
In God we Trust
 
Duh Mkuu unanikumbusha mbali. Dr. Bashiru was right, baadhi ya viongozi vijana wanahitaji kupingwa msasa. Kuna seriousness fulani inahitajika kwa hawa madogo, sio kila kitu ni kusaka kiki tuu!.
P
 
Makonda ni kama nzi wa chooni,ujinga na yeye ni mapacha!
Hivi kwa nini ufipa boys hamnaga akili kabisa?

Maana yake asingeumwa mtoto wa mbowe mikutano ingekuwa pale pale?

Tumeshajua dawa yake siku nyingine akiitisha maandamano tunatanguliza watoto wake ,hasa wale wa Joyce Mkuya na bila shaka atayasitisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili zenu zimeoza,yaani mnashindwa kutumia hata common sense!Sasa kama tayari mtoto wake ana hiyo Corona,si ndio angekuwa hana cha kupoteza hivyo angesema mikutano pale pale!Nadhani hoja yako ingekuwa na maana kama familia ya Mbowe ingekuwa hakuna mwenye Corona!Sasa mtoto wake ana Corona tayari,sasa anamlinda dhidi ya nini?Akili yako na Bashite ni kama Nzi wa chooni!
 
Duh, kumbe kamanda mrangi (mzee wa Ova) alishagawahi kuuza raba za mitumba?
 
Kila masika ina m'mbu wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia alikuwe Mama wa Mjini Mary Chipungahelo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naingia chimbo rasmi nijue Mbowe alikutenda nini. Ni nadra sana kuandika mistari mitatu bila kumtaja Kamanda Mbowe. Ungemtaja Mungu kama unavyomtaja Mbowe pepo ungeenda bila mawaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…