Nimemkumbuka sana IGP Sirro, yupo kimya toka tamko la Marekani juu ya Makonda. Kulikoni?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Kanyamaza, hapendi tena lawama. Je, atakubali kuendelea kuwa IGP kuelekea Uchaguzi Mkuu au atajiuzulu?

Au atatumbuliwa? Maana ni mtu muungwana anayefanya kazi na watu wasio na maadili kama alivyokuwa Kangi.

Je, atakubali kutumika maana yupo kwenye rada ya Wamarekani kuelekea ICC?

Ningekuwa mimi ni yeye ningejiuzulu kutunza heshima kabla ya uchaguzi maana kuna kila dalili za kutwishwa gunia la misumari.
 
Kashandika barua 2 za kuachia ngazi lakini anakataliwa.
Naomba niishie hapo
 
technically,
Ameshqomba kujiuzulu mara kadhaa ila mamlaka ya uteuzi inamgomea. Kwa tabia yake huyo IGP sio mtu wa dhuluma wala mshiriki wa uovu. Ndio maana unamuona hajiweki mbele mbele na sio muabudu sanamu.

Kwa maneno marahisi ni mtu anayetaka kufanya kazi kwa kufuata sheria na sio kutii amri batili za watawala wenye ulevi wa madaraka.
 

Kukataliwa Kwake Kustaafu zaidi ya mara mbili alipopeleka hilo Ombi kwa Mhusika kumempunguza mno Kasi yake Kiutendaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…