Nimemkumbuka ndugu yangu

smileagain

JF-Expert Member
Jul 19, 2015
585
627
Nataka nikamsalimie ndugu (binamu)yangu ameolewa kama miezi 3 hivi iliyopita,ila nimemkumbuka sana though hatukuwahi kuwa karibu kivile/kuishi pamoja ila najisikia tu nikamsalimie kwake .... vipi ni sahihi au nisubiri subiri muda upite?!
 
Back
Top Bottom