Nimemkumbuka Nasma Hamisi Kidogo aliyemtikisa Khadija Kopa kwenye taarabu

Huwa sifuatiliagi haya mataarabu ila nakumbuka mwaka 2000 nilikuwa nimeshuka kwenye ndege Dar nikitokea ughaibuni basi wale immigration wenye roho mbaya wakanitaiti kwa mambo ya kipuuzi nilikaa airport karibu saa nzima ndio nikamuona huyo Nasma kwenye tv zao pale airport anaimba wadudu wadogo wananyevuwanyevuwa.😄😄

Wakati ule hakukuwa na YouTube wala smartphone wala WhatsApp wala Facebook, ndio nikawauliza wale immigration officers huu ndio mziki gani? Nikaambiwa hiyo ndio inaitwa rusha roho.
 
A
Maisha yana kwenda kasi jamani.udongo unakula watu sana.

Taarabu ya kipindi cha nyuma ilikuwa nzuri na ilikwenda sambamba na bendi miaka hiyo.

Kuna kipindi taarabu ilikuwa na vijembe mpaka majirani wakawa wanagombana.

Nasma Hamisi kwenye nyimbo zake zilikuwa na mchuano na Khadija Kopa kwa vijembe.

kama mpaka leo angekuwepo hata khadija kopa angekuwa bado na taarabu yake ileile.

Sawa na Kanumba na Rey, Akudo na Fm Academia n.k

R.I.P

View attachment 2174404
Alikufa zamani sana imebaki mifupa tu sasa dah
 
Huwa sifuatiliagi haya mataarabu ila nakumbuka mwaka 2000 nilikuwa nimeshuka kwenye ndege Dar nikitokea ughaibuni basi wale immigration wenye roho mbaya wakanitaiti kwa mambo ya kipuuzi nilikaa airport karibu saa nzima ndio nikamuona huyo Nasma kwenye tv zao pale airport anaimba wadudu wadogo wananyevuwanyevuwa.😄😄

Wakati ule hakukuwa na YouTube wala smartphone wala WhatsApp wala Facebook, ndio nikawauliza wale immigration officers huu ndio mziki gani? Nikaambiwa hiyo ndio inaitwa rusha roho.
Chai bila chapati yani uzinguliwe hapo una hasira halafu uulizie taarabu kwa waliokuudhi mmmmh (ujumbe ni kupanda ndege)
 
Chai bila chapati yani uzinguliwe hapo una hasira halafu uulizie taarabu kwa waliokuudhi mmmmh (ujumbe ni kupanda ndege)
Mkuu tufike sehemu tukue kiakili. Hivi kweli bado unaamini mtu kama Matola kupanda ndege ni big deal mpaka aje kusimulia hapa? Uwe unaangalia na wachangiaji wa kuwachukulia poa.....inawezekana kupanda ndege ikawa anasa lakini si kivileeee....
 
Back
Top Bottom