Nimemkumbuka Ex wangu

Baada ya kuifuta nambs yake ya simu, ungekata na kichwa chako ukakitupa!!
 
Pumbavu, mwanaume anayegeuka nyuma ana vinasaba vya ushoga! Shoga ndo hugeuka nyuma! Songa mbele acha wehu
 
Si umesema namba yake ipo kichwani,jaribu kumpigia simu..kuna watu wanaachana miaka wakimissiana wanatafutana na wanaanza moja wewe miezi minne sio mingi.
 
Pole saaana mkuuu
 
Those are things that kills. Chakufanya ni kata mti panda mti. Hata kama miti mipya n mibovu fyeka panda upya. Paka upate sehem sahihi
Huwa ni zile moments mnazokuwa pa1...outings...laughs...datings n.k...mkiachana moments turns into memories na apo tatizo ndo huwa linaanzia.
 
Mkuu shemela ndiye aliekupiga kibuti? kama hivyo ndivyo ndugu yangu itapata taabu sana....sijui ni nini sababu ya kuachana kwenu....lkn kama nisemavyo ni kweli....jitahadi kumsahau na tafuta mwanamke mwingine ambae utajizoesha taratibu maana yawezekani asikingie hakilini na moyoni kwa muda mfupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…