Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,052
Pole sana mkuu
Nafeel unachopitia
Aalaaaaahhh mweeeeehh huu uzi nilijua ni wa mtoto wa kike.. kumbe dume zima
Mmmh, nakosa amani nachotaka we urudi nyumbani, nikufananishe na nani nimemiss ulivyonipa zamani
Nitasubiri, juxhaka kawimbo jina nimelisahau jaman
Na wewe unasave linamba la ex wako la nini??Pole boss wangu. Mie mwenye napata taabu kama yako toka Jo anipige cha mbavu sijaona mbadala wake, nilipo nimejibanza, ila ikatokea aakchika na mume wake wa sasa navuta jiko.. huwa napata taabu sana anapo nisalimia kwa whatsapp alafu profile picture yake kapiga yeye na mumewe huwa naumia sanaaa... natamani nifumbe macho nisione picha ila haina namnaaa
Na wewe unasave linamba la ex wako la nini??Uzumbukuku huo
Habari zenu humu ndani.
Mwenzenu leo sina furaha sana maana akili yangu yote inamuwaza Hajir mpenzi wangu tuliyeachana nae kama miezi zaidi ya minne sasa.
Sema ukweli nilikuwa nampenda sana Hajir wangu. Tangu tuachane nimejaribu kuingia kwenye mahusiano mapya kama mara tatu hivi lakini wapi, sipati furaha kama niliyokuwa nayo nilipokuwa na Hajir.
Nakumbuka tulipoachana nilifuta namba yake ili nikate mawasiliano naye kabisa. Hili halikusaidia maana namba take imo kichwani mwangu.
Anyway, kama yumo humu naomba anisamehe kwa niliyomtendea anisamehe tuishi kama zamani. Niliyokufanyia ilikuwa ni hasira tu Hajir mpenzi wangu. Nakupenda sana.
[/QUOT
Kifungu cha sheria za ubaharia namba 17 (a) na kifungu kidogo cha kanuni za maboresho ya sheria kuu za ubaharia namba 65 (b), (c), (d) na (e) vinatoa katazo kwa baharia kulilia mwanamke alietemana nae tena mbele ya mabaharia wenzake kwani kwa kufanya hivyo ni sawa na kujichimbia kaburi ww mwenyewe na kuwafanya wale mabaharia waliowahi kumtamani manzi yako sasa kumfuatilia kwa nguvu maana ushatoa taarifa kuwa hampo tena kwenye mahusiano.
Usikwame baharia!
Sasa unasave namba ya mke wa mtu ya nini??? Akati anakutesaKwani mtu akiwa EX anakuwa adui yako ? Kuachana huko ni kwa kishamba ... kuachwa na mtu haimaanishi muwe maadui
Ndio nilimpenda sasa, na ndio alinifundisha mapenzi... inshirt sina namba yake, ila anapo nisalimia kwa wahtsapp sio ndio naona profile picture yake... kuna kipindi hadi niliacha kutumia whatspp kukwepa hilo balaaa. ... sio jambo rahisi hata kidogoSasa unasave namba ya mke wa mtu ya nini??? Akati anakutesaMabaharia huwaga hatuteseki hivyo mzeee wanawake mia kidogo huyo mmoja ashaolewa
Duh mwache aende tu.Ameniacha mkuu...mi ndo nilikosea kumzaba makofi nilipomkamata anachat na mwanaume mwingine.
Wewe sio Baharia maana mabaharia mpaka tuachane na manzi inakuwa imefika mwisho kabisa sio ww ulifanya kumuacha kumbe bado unampenda . siku nyingine usiende direct kwny kuachana unakuwa mguu ndani mguu njee ili kurudi iwe easy ....Mi baharia mbona kitambo ila kwa Hajir wangu nanyong'onyeaga kama kifaranga kilichonyeshewa mvua ya usiku.
Leo nimetoka kumwambia mtu tuachane Kwa sababu nilikuwa na Hasira ....Najutaaa........
Natamani nimwambie sori i wasi madi/angri bebi ila no acha nipambane na Hasira zangu ...
Na utamkumbuka Sana kashapata alietambua thaman yakeHabari zenu humu ndani.
Mwenzenu leo sina furaha sana maana akili yangu yote inamuwaza Hajir mpenzi wangu tuliyeachana nae kama miezi zaidi ya minne sasa.
Sema ukweli nilikuwa nampenda sana Hajir wangu. Tangu tuachane nimejaribu kuingia kwenye mahusiano mapya kama mara tatu hivi lakini wapi, sipati furaha kama niliyokuwa nayo nilipokuwa na Hajir.
Nakumbuka tulipoachana nilifuta namba yake ili nikate mawasiliano naye kabisa. Hili halikusaidia maana namba take imo kichwani mwangu.
Anyway, kama yumo humu naomba anisamehe kwa niliyomtendea anisamehe tuishi kama zamani. Niliyokufanyia ilikuwa ni hasira tu Hajir mpenzi wangu. Nakupenda sana.
kuna baadh ya binadam ukiwa nao ktk mapenz ningum sana kuwasahau hata kama haukua na mapenz yakwel kwake na hii situation sijui hua inasababishwa na nin