Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Ndo hvyo nakapenda sana haka kadada kakihaya.Aisee.
Mapenzi yana pande mbili kama za shilingi, raha na karaha.mapenzi..............mapenzi................mapenzi.....mapenzi
Mi baharia mbona kitambo ila kwa Hajir wangu nanyong'onyeaga kama kifaranga kilichonyeshewa mvua ya usiku.Unasaliti chama[emoji855][emoji855]
Sio genye mkuu...Genye ni kitu kibaya sana, you cant think straight
kweli kabisa, ila omba tu yasikukute.Mapenzi yana pande mbili kama za shilingi, raha na karaha.
Acha nitoe kilicho moyoni mkuu.Aalaaaaahhh mweeeeehh huu uzi nilijua ni wa mtoto wa kike.. kumbe dume zima
Ndo hvyo.kweli kabisa, ila omba tu yasikukute.
Kama kasha move on, hakuna utakachobadili na hata kama akikurudia nothing will ever be the same again.!!
Learn to accept the reality though it real hurts sometimes, nothing lasts forever, even that pain will cease one day.!!
I can feel you..!!