Mkuu ni ugeni tuu humu jukwaani hatujuani, kwa kukusaidia tuu, mshahaa na marupurupu yote ya DC ndio pesa ninayolipia pango ntuu la nyumba ya NHC niliyoipangisha mjini kati!, nikijumlisha na mishahaa ya watu wangu, nawalipa ma DC 5!, hivyo huyo DC wa kumlipa Pasco wa jf, amlipe kwa pesa gani?!.
Japo kuna kauli everybody has a prrice, Pasco wa jf, has no price!, nini Makonda anilipe, hata Magufuli hawezi
kunilipa itakuwa Makonda?.
Pasco