Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
rafiki?!!
Rafiki au friend?
Mmmh kama umemkosea Mara kwa Mara na akakusamehe huoni akikusamehe tena utarudia... mtu anaejutia kosa alilofanya hawez kulirudia tena makusudi.
Weka mambo vzr...ni urfk gani unaongelea...jinsia gani
Kwa sbb umeshindwa kujirekebisha mara zote acha tu maana utamkosea tena....siyo lazima uwe rfk yake...ujirani unatosha...
Kamata Simu Yako Kisha Tuma Neno PENDO Kwenda 155....Mambo Yatarudi Ktk Mstari. Kwa Mengi Zaidi Sikiliza Magic FM Upewe Maujuzi Zaidi.
Pole. Muombe tena msamaha, atakuelewa
Hio huduma ni bure!
Weka mambo vzr...ni urfk gani unaongelea...jinsia gani
Unauliza, Unashangaa au Unaunga Mkono?