Nimemkomesha kidogo

Anna pita

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
227
Reaction score
430
aliniacha bila kosa na kunitambia anaoa... nikamwendea kwa bibi cjui kikatokea nn ckusikia cha ndoa tena.
hii ya leo sasa.. .
kamu add friend. rafiki yangu fb na kumtongoza nikamwambia amkubal amwambie anaishi musoma... jamaa kapenda hasa... tukamfanyia mcheo wakapanga wakutane akamtambulishe kwao!! akakubal kapanda basi kutoka dar to musoma kafika kapanda mpaka majita kufika akamtext kumbe umefika pole mi ni mke wa mtu nipo dodoma

nimefurahi sana maana alikutana na wajina akijifanya kidume wakamwibia...
swali kwa wanaume utampendaje mtu fb!! ndani ya wk unamfata alipo???
 
Hahaha.
Nilisomaga kitabu cha agoro anduru, kinaitwa 'this is living and other stories'

Hongera. Now get a life and let the burger live his
 
Wewe na shoga yako mna uhakika gani kama jamaa alisafiri mpaka musoma.

hakuwahi fika musoma hivyo ilikua kila hatua anasema alipo na alipofika pale rafiki yangu alimwambia ampe aongee na driver ampeleke guest akalale anaijua rafiki yangu na kumweleza kesho yake apande hiace za majita kila kitu alikua anapewa information kutoka kwa rafiki yangu.
 

Kama huyo bibi aliweza kuvunja ndoa ya huyo jamaa....kwanini usingemwambia afanye makaratee uolewe wewe? Uongo mtupu hapo
 
Kwa huruma ya wanawake dhidi ya wanaume na kwa vile hakuna urafiki wa uhakika wa wanawake na yote huwa wanakomoana na kwa kuwa kakubali kutumika kumkomoa huyo jamaa ipo siku kwa utashi wake atakukomoa wewe ambaye bado inaonekana unaumia juu ya jamaa,atampa vitu tena kwa gharama yake..
 
Mhhh!!Huyu sio yule aliyesema anaenda kumroga jamaa ake kigoma kisa alikuwa ametangaza ndoa na m/ke mwingine!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…