Watu namna hii ndo tunataka wawe wabunge au viongozi waandamizi hapo oktoba wataweza kweli kukabiliana na shuruba za uongozi zikiwemo lawama toka kwa wananchi . Ikiwa jambo dogo kama hili umeshindwa kulimaliza mwenyewe unataka jamii ikusaidie je kwa mawazo haya ni haki kweli kuulaumu uongozi uliopo.
Ila Madame B ameshaacha mchezo huo haez kua yeye kwanza muda huu yupo na Arushaone Preta na akina LiverpoolFC wanakula bata
Kaazi kweli kweli aweza kuwa alitoa mada hii kwa kufurahisha jukwaa lkn angejua haiko sahihi hasa wakati huu tunaohitaji mabadiliko. Ipo haja ya kubadilika kitabia na mtazamo si kwa jinsi hii ya mtoa mada.Na hapo ndio anatongozwa na mwanamke. . . . . .ingekuwa anatongozwa na mwanaume shababi. . . .Inatia mashaka sana!!!!