Nimemkatalia lakini ananisumbua nifanyaje?

Nimemkatalia lakini ananisumbua nifanyaje?

Na hamu ya kumjua huyo shori maana kama kihisia nishamjua na atakuwa mtoa povu huyo
Mtafune tyuu huyo dawa ya moto ni moto!
 
Hatutoi ushauri kwa watu tusiowajua
 
Mmnnh! napata ukwakwasi kuamini mambo haya!
 
Nahofia nikimpa tamu balah litakuwa kubwa maana lazima anase
Hapa kuna hogo sio bamia

Yaani mkuu ndo unazidi kujifangilia kwa huyo demu,bora ungesema unakibamia tu.sasa hilo hogo lazima ajitahidi alipate sababu umejisifia kuwa unayaweza
 
Hata PM namrarua mbaya
ila anashupalia ni king'ana'anizi kama luba sasa najiuliza ningekuwa
nimemwonjesha asali si ndio ingekuwa balaaa

We ndio kakukatalia ndo unakuja kumchana hapa kumbe wammezea mate?
 
Mleta mada wewe ni mwanaume au mtoto wa kiume? Maana mwanaume kulialia kiasi hiki ni udhaifu mkubwa. Hujui maama ya PM? Maana ya PM ni ku PMiana.
 
Acha ubwege mtoto wakiume hivi wewe una uwezo gani wa kukabiliana na viji mambo vya mtaa .mambo ya kike hayo umwanike ili iweje? ufaidi nini? fanya mambo yenye kuleta manufaa katika familia yako .Watanzani mbona wavivu wa kufikiri yaan swala dogo hilo unakuja kulia lia hapa haya basi nenda ka gugoo maana umelewa starehe za kutofikiri.
 
Hadi fb? mnafahamiana vizuri nyie....
kama anakufahamu kupitia fb amejuaje upo jf na ID unayotumia???? by the way pole
 
Waarabu wa pemba nyie.
Amejuaje ID yako jf nawe umeijuaje yake?
Malizeni mliyoyaanza tu
 
Waarabu wa pemba nyie.
Amejuaje ID yako jf nawe umeijuaje yake?
Malizeni mliyoyaanza tu

Id yangu anaijuwa na yake naijuwa hii inatoka na ukaribu wetu hapo kabla ya kubadili mwelekeo na kuanza ung'ang'anizi wa kustajabisha
Hapa hapa mnapotupia michango juu ya swala hili anaipitia najuwa
Lakini hajatia neno zaidi ya kuniPM na kuniomba nisimweke hadharani atapata aibu kwa heshima aliyonayo hapa kapetini.
 
hadi fb??? mnafahamiana vizuri nyie....
kama anakufahamu kupitia fb amejuaje upo jf na ID unayotumia???? by the way pole

Swala la ID hili kila mtu alijuwa ya mwenzie before hata ya huyo mchumba wake mimi naijuwa kupitia yeye ila jamaa hajuwi kama mimi naijuwa ID yake
 
Yaani mkuu ndo unazidi kujifangilia kwa huyo demu,bora ungesema unakibamia tu.sasa hilo hogo lazima ajitahidi alipate sababu umejisifia kuwa unayaweza

Ndio maana naliangalia hili swala kwa jicho la pili mkuu
 
Id yangu anaijuwa na yake naijuwa hii inatoka na ukaribu wetu hapo kabla ya kubadili mwelekeo na kuanza ung'ang'anizi wa kustajabisha
Hapa hapa mnapotupia michango juu ya swala hili anaipitia najuwa
Lakini hajatia neno zaidi ya kuniPM na kuniomba nisimweke hadharani atapata aibu kwa heshima aliyonayo hapa kapetini.
Basi sawa!!
 
Hapana mkuu kama muliongea PM usilete huku utamuabisha/fedhehesha sio poa kabisa. Ongeeni hukohuko PM mkishindwa kuyamaliza muyaache hukohuko PM huku usilete mkuu.
 
Back
Top Bottom