kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
Kama kuna kitu huyu mwanamke hatambui na hataki kutambua ni Ukweli nilipomwambia "Hapana"maana yake ni hiyo.
Kuna msichana ananikwaza sana kwani kwa muda mrefu nimekuwa ninamkatalia mahusiano na mimi na ni mpenzi wa jamaa yangu wa mtaa.
Siwezi kuwa na mahusiano naye period. Lakini yeye haamini anafikiria namringia au nitabadili mawazo nimeshasema "hapana"HIvi hadi mtu aseme kwa ukali na kumtukana mtu ndio ajue kuwa hatakiwi.Au mpaka nimchane mshikaji live.
Ningekuwa na uwezo wa kumkwepa ningemkwepa lakini ndiyo hivyo.
Hakosekani mtaani na wote tumejenga tena majirani hatujapanga kwa hiyo kuhama inakuwa ngumu sana.Hata ninapokuwa mbali nje ya mtaani haachi kusumbua kwenye mitandao ndio kabisaa,kila saa nimesema "hapana"we kiziwii,unanitafutia balaa kwa jamaa tena ukijuwa wazi ni mbeba vyuma