Ha ha ha, akafurahi yeye hadi na wewe ukafurahi?
Kazi kweli yaani watu siku wanaolewa hata basi tu mke tu,yaani kumbe unayempenda alikuwepo,ni majanga hizi ndoa za siku hizi
Ha ha ha, akafurahi yeye hadi na wewe ukafurahi?
Ha ha ha, akafurahi yeye hadi na wewe ukafurahi?
Habari
bas leo katka pita pita zangu c nkamit na my x boyfrnd..acha afurahi bas had na mie nkafurah coz ni kama 1year hatujaonana bas tukaongea apo wee mara wazidi kuwa mrembo full kunishika mkono, mara y nlibadilishaga namba e.t bas nkampa tena my contact bas naw cancol et tumit smwhere for dina n stor
Wadauz hatukuachana kwa ubaya kuna kitu tulitofautiana tyu..now am a some one wife ushaur kuna tatizo kujumuika nae. my mume yupo mbali time ninayo ntakuwa nakosea??
Huu mwandiko mbona kama wa binti yangu mdogo wa mwisho ndio kwanza kamaliza STD 7...
Umefikiria mbaaaaali
We binti unajuaje kama mme wako ni member hapa JF. Btw una umri gani na umeolewa lini?
Ndo mimi dady
Heee...umeolewa lini tena? au ni kwenye ile michezo yenu ya kibaba na kimama....
Nna 24 nmeolewa 1 year ago
Boifrend mmepotezana mwaka moja uliopita, ndoa mmefunga mwaka mmoja uliopita. Kwa hesabu za haraka kuna kipindi ulikuwa unamegwa na wote wawili. Kilichokufanya ukaamua kuolewa na mme usiompenda ni nini hasa?