babadullah
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 508
- 320
Kama uji flani yaani juice ya mahindikilikua kinalewesha au ndo kinywaji laini?
Ilikua na ladha gani wakuuJuice ya mahindi.
Uji huoShake be 4
Bwana we hata sjui nikuelezeje,ila ilikuwa nzito kama juice ya tende.Ilikua na ladha gani wakuu
Acha ushabiki mkuu, wewe lazima SSC. Yanga hawapiti hapa.Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kulikuwa na kinywaji kiitwacho yeboyebo
Nilikua mdogo kipindi kile sikueza kuwa na pesa za kununua, nilikua, naumia sana kuona watoto wa wenye uwezo wakinywa huu uji.
Kilichonivutia zaidi ni ile zawadi ya viatu vya wazi ambavyo watu waliviita YEBOYEBO na hii ndo ikapelekea,viwanda kuiga na kutengeneza open shouse na kuziita yeboyebo mnakumbuka wakuu
Now nimekua,
Nina pesa nahitaji nionje utamu wa kinywaji cha yeboyebo
Wapi nitapata hiki kinywaji?
MBNA hakipo cku hizi kinywajimzeee yan nlikuwa nkiona watu wanakunywa nataman aiseee
Hii yes ndiyo nlikuwa naipenda ilikuwa nzito na tamu.pia kulikuwa na juice inaitwa yes!