D Dundo_Boy JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 2,458 Reaction score 2,468 Mar 5, 2016 #2 Ha haaa!, nilionaga MBY hiyo kitu. Kama huna meno huwezi furahia
M mangatara JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 14,517 Reaction score 14,169 Mar 5, 2016 #3 Meno mkuu, sina tena yaani naona mate tiyari mdomoni
Diva Beyonce JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 12,913 Reaction score 11,297 Mar 6, 2016 #5 Huo mkaango umenitamanisha mno chah hasa ukiwekwa chumvi na mafupa ukaangwe waweza jing'ata ulimi
mkupuo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 2,021 Reaction score 2,655 Mar 6, 2016 #6 Daaaah, mkuu umenikumbusha mbali sana wakati huo tukiwa shule ya msingi miaka ya 1980. Kwenda na uketo shuleni ukiwa kwenye mfuko wa kaptula ilikuwa kawaida sana!
Daaaah, mkuu umenikumbusha mbali sana wakati huo tukiwa shule ya msingi miaka ya 1980. Kwenda na uketo shuleni ukiwa kwenye mfuko wa kaptula ilikuwa kawaida sana!