Nimemhudumia kwa zaidi ya 900k Guest, lakini kanipiga tukio

Tatizo jamaa alimuamini sana mke wake mtarajiwa coz walishatambulishana kwahyo hyo pesa haikua ngum kutoa aliona km anampa wife

Any way msiache kutuhudumia F wengn wanashukran
 
Sikiliza wewe kiumbe.
Jamaa anasema huyu ni mke mtarajiwa hujui mipango yao.
Huenda binti aliomba alipiwe ili pesa ya ofisi afanyie mambo mengine au hata maandalizi ya kuoana.

Bila shaka alijua kuwa huwa analipwa lkn huenda binti alidanganya au alimzidi kete kuwa hata ana mkopo au vinginevyo.
Hapa tulipaswa kujadiki zaidi uaminifu zaidi ya pesa.
Vifo vingine mnajitakia...utalipiwaje hoteli na mwingine eti unaingiza mume mwingine?.

Kwanini tunamuona mlipaji ni ndezi na huyu anayekuja kumla chumba alicholipia mwingine ni mjanja?.
Huoni kuwa anahatarisha maisha kwa kutaka mteremko?
Kwani akiwa mke mtarajiwa ndio umlipie hela za hotel ili hali yuko kazini. Kupenda kutumia hela hovyo kwa kujua kama ndio utapendwa au la. Huyo mwanamke hakuwahi kumpenda jamaa alikuwa anamtumia tu.
 
Naombeni kwanza kukaribishwa kwenye haya majukwaa ya kijamii!

Nina mpenzi wangu ambaye nilikutana nae mkoani, hivyo tukaanza mahusiano na sasa tuna miezi kumi.

Mwezi uliopita kwenye tarehe 20, ofisi yake ilimpeleka kikazi mkoa X. Hakujulishwa kuwa angekaa huko kwa muda gani, lakini kawaida ya ofisi yao hutoa siku tano hadi wiki, hivyo nikajikuta nikigharamikia gharama za Guest! Wakati alipoelekea mkoa ule nami nilikuwa pamoja nae hadi tulipofika kwenye kihotel cha hadhi ya kawaida tu, ndipo kulipia 175k kwa ajili ya wiki nzima! Nikapanda basi kurudi nyumbani alfajiri ya siku iliyofuata. Lakini baada ya wiki kuisha, binti alinitaarifu kuwa kuna uwezekano akawa huko mwezi mzima, hivyo nikamtumia manager wa hicho kihotel chenye Guest House 525k kwa ajili ya hizo wiki tatu zilizobaki ukiongezea pia gharama za chakula zilikuwa juu yangu, kama aliongeza za kwake ni kwa kiwango kidogo sana.

Siku ya tarehe 18 mwezi huu nilikwenda ghafla kwenye huo mkoa kwa ajili ya mambo yangu binafsi! Nikaona ni bora nipitie kwenye hicho kijihotel. Wakati nilipokuwa naongea na yule binti wa mapokezi, aliishia kunitizama tu kwa mshangao kana kwamba hajawahi kuniona, ndipo nilipomtaarifu kuwa naelekea kwenye room ya aliyekuwa mke wangu mtarajiwa. Nilipobisha hodi tu, mlango ukafunguliwa, ndipo kukutana na kidume. Katika harakati za kushangaana, huyu mke wangu mtarajiwa ndipo kutoa uso wake! Ndipo nikamuona akiwa na kijitaulo cheupe!

Nimebaki nawashangaa tu, sijazungumza chochote nikaondoka zangu. Hii ni baada ya maamuzi mazito niliyotaka kuyachukua kuzuiliwa na malaika wa siku hiyo.

Nahisi hawa watu wamekuwa wakigegedana muda mrefu sasa. Roho inaniuma, istoshe nimegharamia sana na nimemwamini kupita kiasi, tulishatambulishana mpaka kwa wazazi. Naombeni ushauri nichukue hatua gani?
Jitie dole la mku.......
 
kimbelembele kaka yetu kimemponza eee,yaani mtu yupo kazini alafu we ndo unagharamia malazi yake kama we ndo kampuni,hiyo hela ungemtumia mama yako kijijini
msipotumia akili mtaendelea mtapigwa matukio mpaka akili ikae sawa,
kujibebesha majukumu yasokuhusu ili ugundue nini
😂😂 jamaa anauthubutu sana, kubeba majuku ya kampuni sio mchezo
 
Piga chini, pita vile…Mtaani wanawake singo bado tuko wengi 🤣🤣🤣

Kimsingi piga chini, then mdokezee mshua wako hali iliyokupelekea ufanye maamuzi hayo.
Depal, wewe ni single?🙆🙆🙆🤔🤔
Nimeuliza kwa wema tu.🙇
 
sophy27 unaona kwa nini nasema kuwa tusiwaonee huruma wanawake
Tatizo lenu hamjui kumsoma mtu kupenda hatuna uhakika bas angalau chunguza anakuheshimu nadhan heshima ikikaa mahala hta km mapenz sio ya uhakika Kuna unafuu
Mwanamke akikuheshimu hawez fanya upuuz km huo

Ila msisahau mmeumbiwa mateso🤣🤣🤣
 
Hapo cha kufanya umeshakijua umekuja kutafuta attention tu. Hapo hamna majadiliano, chapa lapa nenda uka 'focus' na mambo mengine.
 
Loooo
Huyo inaonesha kapitia mengi zaidi ya hili, huyo Binti kajua amemuweka kiganjani anamgeuza atakavyo,
Huwezi kumfumania Mpenzi wako Live halafu unakuja Mtandaoni kuomba ushauri eti ufanyaje kama sio bado anamta
Huyo inaonesha kapitia mengi zaidi ya hili, huyo Binti kajua amemuweka kiganjani anamgeuza atakavyo,
Huwezi kumfumania Mpenzi wako Live halafu unakuja Mtandaoni kuomba ushauri eti ufanyaje kama sio bado anamtaka.
Sasa uliraka gunia la mkaa limhusu? au risasi Saba?? Kuomba ushauri no uvumilivu pia.
Ushauri:
Msamehe muendelee na Penzi lenu, "kuchapiwa na siri ya ndani" wahenga hao.
 
Pole mkuu Kwa kumhudumia demu was kidume mwingine. Itoshe kusema umevamia bila kujua kuwa msitu una wenyewe. Mwezi Moja tu ukajiridhisha ni wako hujui before alikuwa na wangapi?
 
Naombeni kwanza kukaribishwa kwenye haya majukwaa ya kijamii!

Nina mpenzi wangu ambaye nilikutana nae mkoani, hivyo tukaanza mahusiano na sasa tuna miezi kumi.

Mwezi uliopita kwenye tarehe 20, ofisi yake ilimpeleka kikazi mkoa X. Hakujulishwa kuwa angekaa huko kwa muda gani, lakini kawaida ya ofisi yao hutoa siku tano hadi wiki, hivyo nikajikuta nikigharamikia gharama za Guest! Wakati alipoelekea mkoa ule nami nilikuwa pamoja nae hadi tulipofika kwenye kihotel cha hadhi ya kawaida tu, ndipo kulipia 175k kwa ajili ya wiki nzima! Nikapanda basi kurudi nyumbani alfajiri ya siku iliyofuata. Lakini baada ya wiki kuisha, binti alinitaarifu kuwa kuna uwezekano akawa huko mwezi mzima, hivyo nikamtumia manager wa hicho kihotel chenye Guest House 525k kwa ajili ya hizo wiki tatu zilizobaki ukiongezea pia gharama za chakula zilikuwa juu yangu, kama aliongeza za kwake ni kwa kiwango kidogo sana.

Siku ya tarehe 18 mwezi huu nilikwenda ghafla kwenye huo mkoa kwa ajili ya mambo yangu binafsi! Nikaona ni bora nipitie kwenye hicho kijihotel. Wakati nilipokuwa naongea na yule binti wa mapokezi, aliishia kunitizama tu kwa mshangao kana kwamba hajawahi kuniona, ndipo nilipomtaarifu kuwa naelekea kwenye room ya aliyekuwa mke wangu mtarajiwa. Nilipobisha hodi tu, mlango ukafunguliwa, ndipo kukutana na kidume. Katika harakati za kushangaana, huyu mke wangu mtarajiwa ndipo kutoa uso wake! Ndipo nikamuona akiwa na kijitaulo cheupe!

Nimebaki nawashangaa tu, sijazungumza chochote nikaondoka zangu. Hii ni baada ya maamuzi mazito niliyotaka kuyachukua kuzuiliwa na malaika wa siku hiyo.

Nahisi hawa watu wamekuwa wakigegedana muda mrefu sasa. Roho inaniuma, istoshe nimegharamia sana na nimemwamini kupita kiasi, tulishatambulishana mpaka kwa wazazi. Naombeni ushauri nichukue hatua gani?
Ulifanya ufala wa kiwango cha kindezi sana! Wewe siyo mkewako wa ndoa unaanzaje kumlipia pesa zote hizo. Huna familia? Mama yako huwa unamtumia sh ngapi kwa mwezi? Umezingua hata kama una pesa kiasi gani huo ndo ufujahi wa pesa.

Rekebisha matumizi ya pesa saidia ndugu zako watakao kuzika acha kuhangaika na malaya watakaokupa ukimwi. Usimlaum jilaum wewe upumbavu wako na ushamba wako wa mbususu
 
Hiyo ni hiyari yako. Kupenda kwako ndiko kumekufanya umgharamikie. Ofisini kwakwe wamemwandalia malipo yote yanayomhusu akiwa nje ya kituo chake Cha kazi.
Labda lalamikia kuchapiwa. Pole.
Usimgharamie sana asiye mkeo, utapata maumivu siku moja.
Mwanamke ndiye aliongea na shetani ana kwa ana. Ogopa sana viumbe hawa. Ndiyo maana maandiko yanasema tuishi nao kwa akili.
 
Ulifanya ufala wa kiwango cha kindezi sana! Wewe siyo mkewako wa ndoa unaanzaje kumlipia pesa zote hizo. Huna familia? Mama yako huwa unamtumia sh ngapi kwa mwezi? Umezingua hata kama una pesa kiasi gani huo ndo ufujahi wa pesa.

Rekebisha matumizi ya pesa saidia ndugu zako watakao kuzika acha kuhangaika na malaya watakaokupa ukimwi. Usimlaum jilaum wewe upumbavu wako na ushamba wako wa mbususu
Bora na wewe umempa makavu, naona hela zake hazina matumizi mengine. Ndio aache kuhonga hovyohovyo
 
Huyu mwanaume anayehonga bila kutumia akili simtaki.

Tatizo lenu hamjui kumsoma mtu kupenda hatuna uhakika bas angalau chunguza anakuheshimu nadhan heshima ikikaa mahala hta km mapenz sio ya uhakika Kuna unafuu
Mwanamke akikuheshimu hawez fanya upuuz km huo

Ila msisahau mmeumbiwa mateso🤣🤣🤣
Nyie dawa yenu moja tuu....kiwagegeda na kuwaacha basi.
Mateso yetu ni kusaka hela ili kula mbususu.
Hayo mateso mengine ni ya kujitakia tuu.
 
Back
Top Bottom