MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 332
Haya Chap chap! taja umri wako!!!!????Mshua aliyeyuka gafla baada ya kumdaka live bila chenga akitoka na kaunder 25 gesti wakati nami napata kasupu hapa mjini. Kawa mpole mbaya ila imenikera. Sijui nikamwabie maza au nimkomalie aninunulie uwanja hapa town.. lazima kitaeleweka tuu kwani nimepiga hadi picha. Ubabe wake kwishney. Sio nafurahia ila hii ni opportunity kutokana na ubabe wake na ninampa onyo kali...akirudia naenda kusema kwa mama
Haya Chap chap! taja umri wako!!!!????
Huenda mama yako anajua kila kitu ila ameamua kukaa kimya kuilinda ndoa yake... Sasa ukienda kusema sijui itamnufaisha nani kati yenu?
Mkuu we mtoto wa .com nini?
Yani kwanza hicho ulichokiona ni vitu ambavyo unatakiwa uombe usione! Ni laana zaidi kuona live ama kusema.
Kuwa mdogo huyo ni baba yako aliyekuzaa wewe!!
Kama baba ataonekana na aonekane ila wewe huwezi kuingilia mambo kama hayo kwa wazazio ni laana mkuu.
Halafu unataka kublackmail? Dah kweli hiki ndo kizazi cha nyoka hasa.
dogo wenzako wwameanza pepa jana, leo wanamaliza anza kujiandaa pepa za zinakribia! Sio kukalia kuropoka ya wakubwa zako!