Nimemfumania anacheat,nifanyaje!?

Nimemfumania anacheat,nifanyaje!?

Mamboz....nina demu angu ambaye tumekutana chuo na tumependana sana almost kila siku tunalala wote magetoni ila jana kanidanganya anaeenda kwenye party usiku,but before hajaondoka nikafanikiwa kufumania chating za mchepuko wake wakutane sehemu flan,ile kumuulza tumegombana sana mpk nmemzaba makofi na hatimaye akaondoka akiwa kununa,.....Leo asubuhi karudi geto na nmefanikiwa kuona picha kwenye simu yake ambayo amempiga mchepuko wake anavaa viatu asubuhi....
But karudi geto anatia huruma et nimsamehe.....je nirudishe moyo nyuma au mbele kwa mbele.....life goes on
Mwambie tu harud kwa kidume mwenzio hakuna namna
 
The issue tunasoma course moja,nkimpga chini hatakuwa na amani tukiwa class....may b akachukua maamuzi magumu,,,,,,,chezea wahehe ww
Yaani ww ungekuwa ndugu yangu. Kaka yangu au mdogo wangu. Nakupiga risasi ufe kabisa upotee. Huna faida. We ni m**ng**. Huna sifa ya kuitwa mwanaume. Labda ndo maana hata huyo demu anakuchezea.
 
Mamboz....nina demu angu ambaye tumekutana chuo na tumependana sana almost kila siku tunalala wote magetoni ila jana kanidanganya anaeenda kwenye party usiku,but before hajaondoka nikafanikiwa kufumania chating za mchepuko wake wakutane sehemu flan,ile kumuulza tumegombana sana mpk nmemzaba makofi na hatimaye akaondoka akiwa kununa,.....Leo asubuhi karudi geto na nmefanikiwa kuona picha kwenye simu yake ambayo amempiga mchepuko wake anavaa viatu asubuhi....
But karudi geto anatia huruma et nimsamehe.....je nirudishe moyo nyuma au mbele kwa mbele.....life goes on
Jipime na jiulize je wewe toka uanze mahusiano naye umewahi kuchepuka, kisha fanya maamuzi ya busara!!! Ila huyo mwanamke anadharau sanad1) Pamoja na kuwa uligundua kabla ya tendo still yeye akaamua aende akachepuke, 2) Baada ya kuchepuka na kwa elimu yake ya chuo still akapiga picha aje akuambie kuwa huoni kama wewe hunitaki kuna wengine, 3) Kama hivyo ndivyo alivyo na elimu yake she seems to be very stupid girl na hafai kuwa mke kamwe
 
Eeeh mbavu zangu aaaaaaah unalako unapata kutoka kwake...ila ndio mapenzi hayo amua mwenyewe.
Sio mapenzi hayo. Huyu ana matatizo ya akili. Hawa ndo wale wanaume wenye tabia za kike. Nadhan umenielewa. Hana sifa ya kuitwa mwanaume huyu.
 
Jipime na jiulize je wewe toka uanze mahusiano naye umewahi kuchepuka, kisha fanya maamuzi ya busara!!! Ila huyo mwanamke anadharau sanad1) Pamoja na kuwa uligundua kabla ya tendo still yeye akaamua aende akachepuke, 2) Baada ya kuchepuka na kwa elimu yake ya chuo still akapiga picha aje akuambie kuwa huoni kama wewe hunitaki kuna wengine, 3) Kama hivyo ndivyo alivyo na elimu yake she seems to be very stupid girl na hafai kuwa mke kamwe
Foolish age....
 
Wale wanaowaita wanaume wa dar...hawakukosea
 
Kuna wanaume wengine nahisi mna matatizo kichwani! Unadai umethibitisha alafu unaomba ushauri ufanyeje!? Amekutolea mahari huyo?
 
Huyo dem zaid ya uchi anakupa nini cha maana? Je ukitemana nae huwezi pata mbunye nyingine?

Yani mm nisingejiuliza huo upuzi
 
Kama na weww ulishacheat uwe umedakwa Au hukudakwa why unaumia na huku Ni jambo la kawaida tu
 
Swala la kipuuzi kama hilo unaleta jf, demu kakunwa a whole night bado unaomba ushauri, acha uzembe wa kufikiria!!
 
Back
Top Bottom