Nimemfumania anacheat,nifanyaje!?

Nimemfumania anacheat,nifanyaje!?

Ndio maana mnaitwaga Vi.la.Za eti unasoma nae course moja.

Ukimuacha atachukua uamuzi mgumu?

Sema uyo demu ni malaya na ushazoea vya kunyonga kuchinja huwezi tena?

Umejua anakwenda kwa bwana mwingine na ukamwacha aende baada ya kumzaba makofi??

Na nauli ukampatia. Kweli wewe ni Ki.la. Za
 
Mamboz....nina demu angu ambaye tumekutana chuo na tumependana sana almost kila siku tunalala wote magetoni ila jana kanidanganya anaeenda kwenye party usiku,but before hajaondoka nikafanikiwa kufumania chating za mchepuko wake wakutane sehemu flan,ile kumuulza tumegombana sana mpk nmemzaba makofi na hatimaye akaondoka akiwa kununa,.....Leo asubuhi karudi geto na nmefanikiwa kuona picha kwenye simu yake ambayo amempiga mchepuko wake anavaa viatu asubuhi....
But karudi geto anatia huruma et nimsamehe.....je nirudishe moyo nyuma au mbele kwa mbele.....life goes on
Ungekua na hela asingeenda kuchepuka na mpaka hapo hata hukua na sababu ya kuja hapa kwa maneno haya,labda ungekuja na kicha cha habari kinasema NIMEMPIGA CHINI DEMU WANGU ningekuelewa,soma ndugu yangu then njoo mtaani tafuta pesa na ukizipata utaona kama kuna mwanamke atakuchezea
 
vibao umnase na bado kaenda hilo moja na picha kampiga bado unataka tukushaur nin cha kufanya hapo?
 
The issue tunasoma course moja,nkimpga chini hatakuwa na amani tukiwa class....may b akachukua maamuzi magumu,,,,,,,chezea wahehe ww
Usiangalie upande wake angalia upande wako.hata yeye kabla ya kufanya hivyo hakuangalia upande wako kwamba utaumia kiasi gani alijijali yeye tu.sasa uhehe kitu gani piga chini and let her face it.
 
Hayo ya kurudisha moyo nyuma au mbele kwa mbele ni maamuzi yako Mkuu kutokana na jinsi unavyompenda, lakini kwa wanaume wengi situation kama hii haina mjadala. Unajua fika bi dada alienda kwa njemba na akalala huko halafu anarudi ghetto unashindwa kuamua njia ipi uelekee kwenye mahusiano yenu!? Unataka akuletee UKIMWI!?
kwani ulitushiruikisha wakati unamtongoza?
 
Dogo acha ujinga bhana, yaani umekuta na picha halafu bado unamuonea huruma, pumbavu zako kabisa, wewe ndio wa kuonewa huruma! Acha ujinga labda kama una benefit kutokana na matendo yake otherwise sitaki kijana wangu uwe bwege namna hio, choose between the two, Kusoma au mapenzi. Ila hapo inavyoonekana ukiendelea hivyo uta-graduate na AIDS not A's
We wa mzumbe nn
 
Ndoo maana mkuu wa kaya anakagua vyeti vya wasomi uchwara kama wewe sasa mtu ushamfumania unaomba Ushauri gani zaidi ya kumpiga chini ukajikita kwenye masomo utengeneze GPA nzuri
 
Yan dem kaenda kutiwa uko ucku kucha bla aibu af anajirudsha kuomba msamaha apo ungetakiwa umtimue mbio asikuzoee sijui kama ni kitu cha kuomba ushaur hiki
 
Hili nalo linahitaji kushauriwa....PIGA CHINI
 
Back
Top Bottom